Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za...
Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi
1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi
2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Dk. Philip Daninga, alisema Rais Dk. Samia, kuwa, anaishi anazidi kuonyesha misingi ya utawala bora na anatekeleza kwa vitendo yale...
Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara.
Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala...
Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu.
Nimejiuliza...
Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA...
Wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Kilimo leo Bungeni, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alielezea maendeleo ya sekta ya kilimo nchini na kusema sekta ya kilimo imetoa wastani wa asilimia 65...
Bashe anataka kuleta Mapinduzi ya Kilimo Ya Tanzania ambayo hayapo kokote kule Duniani.
Dunia nzima Mapinduzi yao ya kilimo yalianzia Darasani na baadae kutoka nje, na huko nje wakaanza kuzalisha...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya (kushoto) akifanya mahojiano na mwandishi wa gazeti la Mwananchi katika mahojiano maalumu jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu...
Familia zimekumbushwa kujadili masuala ya maadili ili kujiepusha na changamoto ya mmomonyoko wa maadili inayotajwa kukithiri ndani ya jamii katika siku za hivi karibuni
Wito huo umetolewa mkoani...
Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku...
Kuna kijisauti nakisikia na kinaniambia niwafikishie sauti hiyo wote wenye kutamani Udiwani na Ubunge wawe ni kutoka CCM au Upinzani.
Sauti inaniambia na imenihakikishia mambo makubwa matatu...
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena.
Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile...
WILAYA YA USHETU HAINA JENGO LA KITUO CHA POLISI WALA NYUMBA ZA ASKARI
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amesema Wilaya yake haina jengo lolote la Kituo cha Polisi...
Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii...
Nchi yetu watumishi wengi WA umma wanaishi Kwa kuwaza namna yakuwakwamisha wafanyabiashara na watendaji WA sekta binafsi. Umekwenda bar ukakuta sauti IPO juu, badala uwaelimishe wapunguze sauti...
Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma:
1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka...
Haiwezekani chama ni Kimoja lakini kila mtu anaibuka na Utaratibu wake. CHADEMA heshimuni Maridhiano.
CHADEMA mheshimuni mwenyekiti Mbowe.
Jumatatu Mbarikiwe sana!
Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025.
Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea...