Mapinduzi ya kilimo ya Bashe ni hadaa kubwa sana

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,517
Bashe anataka kuleta Mapinduzi ya Kilimo Ya Tanzania ambayo hayapo kokote kule Duniani.

Dunia nzima Mapinduzi yao ya kilimo yalianzia Darasani na baadae kutoka nje, na huko nje wakaanza kuzalisha mashine za kuweza kulima kisasa na baadhi ya hizo mashine wakaanza ku export na kama haitosji wakaanza ku export Techinolojia pia.

Bashe ni mtu mjanjajanja sana na anajua fika asilia 80 ya Watanzania uwezo wao wa kufikri ni mdogo sana ndio maana amewekeza sana kuwahadaaa na vitu vya uongo. Mageuzi ya kilimo sio kulima aridhi pekeee yake.

Hakuna nchi imefanya mapinduzi ya kilimo kwa staili ile ya Bashe anayo waaminisha Wadanganyika.

Huwezi zungumzia mapinduzi ya Kilimo bila mapinduzi makubwa sana ya Elimu, Elimu ndio inapaswa kuleta mapinduzi ya Viwanda then mapinduzi ya Kilimo.

Ziko wapi zile shule za michepuo ya Kilimo?; je zimepewa bajeti oli kuendana na falsafa ya Mageuzi ya kilimo Tanzania?

Zile shule zisha kufa imebakia jina tu sasa hayo mapinduzi yanaletwa na nani kama Shule za Kilimo zisha jifia kitambo? Hii ni hadaaa no 1.

Vyuo vya Kilimo vina hali gani kwa sasa? Jibi vyuo ndio chachu ya mageuzi ya kilimo Tanzania, je Vyuo vina bajeti ya kutosha kwa sasa? Make vingi ni choka mbaya mno na imebakia magofu.

SUA pale je wana bajeti maalumu kutoka kwa Bashe kwa ajili ya haya mageuzi ya kilimo?

Tuna viwanda vya kusapoti mageuzi ya kilimo? Zamani tulikuwa na ZZK Mbeya, kwa sasa tuna import hadi fyekeo then tunaimbishana hapa mapinduzi ya kilimo?

Mapinduzi ya kilimo sio kulima pekee ni pamoja na kuwa na mapinduzi ya vifaa vya kilimo, Finance, Mapinduzi ya tafiti za kilimo, Mapindizi ya Kilimo India au Israeli yanajumuisha mashine za kilimo na sio kutifua tu aridhi na kuotesha na kumwagilia.

Ni pamoja na kuwa na Taasisi za gedha za kukopesha wakulima Benki ya Kilimo haieleweki eleweki, ile.

Kuchukua vijana na kuwaweka Dodoma pale na kuanza kuaminisha watu kwamba ni mapinduzi ya kilimo ni hadaaa kubwa sana ile.

Hizi hadaa mimi siwezi uziwa, hakuna mageuzi ya Kilimo Tanzania zaidi ya Hadaaa kubwa sana kutoka kwa Bashe.

Wanacho fanya kule kwenye Block za Kilimo mbona zinafanyika sana Tanzania hii? Kule Mang'ora karatu kuna Block za Kilimo cha vitunguu tena kubwa sana.
 
Mhhh, watu wa mjini kwa kelele. Ngoja wakulima wavune tuone ongezeko la tani za Vyakula hususan Mahindi ndipo wa mujini tuanze kuzoza.

Kifupi watoto wa mujini hawana hisia na wakulima. Ni habari mbaya sanaaaa.
 
Hivi Bashe ana elimu gani na uzoefu upi?

Mnaweza kukuta mambo ya kilimo na mageni sana kwake mkawa mnamlalamikia bure tu.
 
Bashe anataka kuleta Mapinduzi ya Kilimo Ya Tanzania ambayo hayapo kokote kule Duniani.

Dunia nzima Mapinduzi yao ya kilimo yalianzia Darasani na baadae kutoka nje, na huko nje wakaanza kuzalisha mashine za kuweza kulima kisasa na baadhi ya hizo mashine wakaanza ku export na kama haitosji wakaanza ku export Techinolojia pia...
Kelele tu sasa unataka Bashe aanzishe kiwanda cha matrekta na kujenga shule za kilimo leo , very pathetic and imbecile

USSR
 
Watanzania wategemee upigaji mwingine kupitia hayo Mapinduzi yake yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Hayo yatakuwa mapinduzi kama ya ccm. Yaani Yale yale ya kunufaisha machawa!

Maswali ya msingi yanaanzia pale pale unapoambiwa Agriculture imefutwa mashuleni.

Ni mashuleni kule ndiko hamasa zinapoambukizwa!

Sasa, ke
 
Back
Top Bottom