Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa wanawake sijui walisoma wapi baada ya vagalanti la magereza nilijua wamekua kiakili. Baraza la wanawake wa Chadema limepanga kufanya maandamano kutaka wabunge 19 wa baraza hilo waondolewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimeona kupitia youtube kuwa BAWACHA wanatarajia kufanya maandamano dhidi ya Mhe. Spika kuendelea kwa kuwakumbatia Wabunge batili wa CHADEMA 19. Binafsi kama raia mwema wa Tanzania na...
2 Reactions
0 Replies
571 Views
Leo tunafanya mapitio ya sura ya tatu ya kitabu hicho inayoitwa ‘The Dilemma of I am a State’, ambayo kwa tafsiri isiyo rasmi ni ‘Mtanziko wa 'Mimi Ndiye Dola'. Kitabu kinaianza sura hiyo kwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ingekuwa hapa wajuwaji wengi wangesema mambo haya yamepitwa na wakati
14 Reactions
91 Replies
7K Views
Awali ya yote nichukue nafasi hii kuipongeza Serikali kwa juhudi kubwa iliyofanywa kuondoa au kupunguza upendeleo katika nafasi za kazi serikalini kwa kuunda chombo kimoja kitakacho simamia ajira...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu Jerry Slaa popote ulipo nakwaambia kuwa barabara za Kivule na Bomba mbili hadi kwa Mkoremba watu wamevunjika migongo. Barabara chafu, hazina lami, zina mashimo, hivi unakwama wapi yaani nyie...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Baadhi ya Mafisadi, Wala Rushwa na Wasioheshimu Taasisi ya Ndoa ni Waumini wa Dini ya Kikristo. Dr Mpango amewataka Viongozi wa Dini kutokaa kimya wakati Nchi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna wabunge ambao ni kama bado awajaamini kwamba niwabunge Hadi wawe wabunge. Nasema hivyo Kwa Sababu, unapokuwa na Spika WA Bunge ambaye ni mbunge anayewaza matamasha na mchakamchaka kuliko...
2 Reactions
14 Replies
810 Views
Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Wanajamvi, Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi. Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi...
1 Reactions
6 Replies
713 Views
Tunawekana Sawa tu ndugu zetu Waislamu marehemu huzikwa mapema zaidi baada ya Kufa Hivyo Nusura Hassan mwanafunzi wa UDOM Kufa 3/5/2023 na Kuzikwa 4/5/2023 hakuhitaji mjadala Nimeona Wengi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimesikia Zanzibar itajenga daraja kutoka kwao kuja Dar. Je, watawezaje ujenzi huo? Je, ni nini vyanzo vya mapato kwa serikali hiyo? Tanzania bara wanafaidika na nini na uwepo wa Zanzibar? Je...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama Serikali ina nia ya dhati kufaulu kwenye usimamizi wa mazingira, Serikali haina budi kuanzisha kikosi cha jeshi la polisi mazingira. Suala la uchafuzi wa mazingira ni la saa 24 hivyo...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Aprili 14 mwaka huu waandishi wanne nguli—Absalom Kibanda, Ansbert Ngurumo, Neville Meena na Jesse Kwayu walizindua kitabu chao walichokipa jina la 'I am the State: A President's Whisper from...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Kwa binadamu yeyote miongoni mwetu ambaye anaamini kuishi kwake litakuwa Bora Kwa kuwaondolea mbali na uso WA Dunia wale asiowapenda basi namweleza wazi kwamba; watu wale wale anaowatumia...
1 Reactions
4 Replies
456 Views
Mgodi wa Dirif wasitishwa kutoa huduma baada ya wananchi kumvamia mwekezaji aliyeletwa na kikundi cha Kagera wakishinikiza aondoke kwa kuwa ni mali ya wananchi. Katavi. Mgodi wa Kijiji cha Dirif...
2 Reactions
3 Replies
601 Views
Jana ilikua sherehe ya kusimikwa kwa mfalme Charles iii wa Uingereza. Lakini sijaona maza House wetu akihudhuria hizo sharehe. Je, hakupata mwaliko au tatizo nini?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza Tutafaidika Kiusalama upande wa magharibi Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu Pamoja na mengne Taifa hilo liitwe Tanzabunia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika utawala wa Mwalimu Nyerere Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi ambacho kilikuwa kinazalisha petroli, dizeli mafuta ya taa, lami nk. Kwa hiyo nchi ilikuwa ikinunua...
44 Reactions
215 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…