Zitto: Chini ya Siku 30 tangu ACT Wazalendo ipate Usajili wa Kudumu nilimpoteza mama yangu mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed aliyefariki Dunia

Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa

Source Jambo TV
 
R.i.p mama
 
Na wale waliomchomea nyumba ni akina nani?
 
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed aliyefariki Dunia

Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa

Source Jambo TV
Siyo siri tena, alimtoa kafara bimkubwa wake huyu jamaa ni mshirikina sana.
 
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed aliyefariki Dunia

Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa

Source Jambo TV
Hii sio habari. Hakuna linkage
Kifo chochote kinapotokea ukihesabu siku toka tukio fulani lazima utapata idadi ya siku.
 
Mbona Kuna wavimba macho wanadai kuwa Mbowe ndiye aliyekufundisha siasa ukiwa UDSM? Tena eti, hata suti ya kwanza kuvaa alikununulia yeye?
 
Hii sio habari. Hakuna linkage
Kifo chochote kinapotokea ukihesabu siku toka tukio fulani lazima utapata idadi ya siku.
Mjinga sana huyo jamaa. Kana kwamba yeye ndiye wa kwanza kufiwa. Wengine wamefiwa na wazazi, wake, watoto, nk kwenye nyakati ngumu sembuse yeye! Watu wamefiwa wakipigania uhai wao ICU! Kijamaa cha ajabu sana.
 
Neno "hijjat" litakuwa linamaanisha mwanamke aliyewahi kwenda hija Macca/Medina, kama vile ilivyokuwa "alhaj" kwa mwanaume.
 
Muasisi na Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chini ya Siku 30 tangu ACT wazalendo ipate Usajili wa Kudumu alpoteza mama yake mzazi Hijjat Shida Salumu Mohamed aliyefariki Dunia

Zitto Kabwe amesema mama yake ndio alikuwa Mshauri wake mkubwa na mlezi wake kisiasa na infact ndiye aliyemfundisha Siasa

Source Jambo TV
Kwahiyo alimtoa kafara ili apata usajili!
 
Zitto kwenye hiyo interview kaongea hilo tu kuhusu mama yake kufariki au kulikuwa na muendelezo wa hii story, majibu ya wadau humu nayo yamejaa maswali zaidi, alikuwa anamaanisha nini hasa?
R.I.P Bi mkubwa.
 
Mafanikio ya miaka 9 ya ACT Wazalendo
 
Yuda alimtoa Mazaake Kafara ili atajirike kupitia hicho Kigenge chake cha Wasaliti Waoga, Alliance for Cowards & Traitors, ACT
ALLIANCE FOR COWARDS AND TRAITORS-MIMICKING WAZALENDO(ACT-WAZALENDO)
🫡🫡🫡🫡🫡🫡
 
Back
Top Bottom