PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha...
Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo.
"Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof Yunus Mgaya amesema hofu ya wananchi inayotokana na falsafa ya kisiasa ya kihistoria inakwamisha ubia katika sekta ya maji...
Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya...
Jeshi linalotumwa kuwalindia madaraka
Askari mwenye V tatu
Mshahara 625,000 /= baada ya makato
Huna V hata moja 228,000/=
Hii iliongezwa kutoka 215,000/=
Kupanda vyeo labda jeshini, polisi...
Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua...
Kwa katiba yetu tunajua Amiri Jeshi Mkuu ndo kila kitu kwenye nchi yetu. Sasa hizi tume mnazounda kila siku na kula kodi za wananchi wakati mtuhuumiwa namba moja katiba inamlinda hawezi kufanywa...
Hii ndio habari ambayo hukuambiwa kwenye Mikutano inayoendelea Nchi nzima
Mamilioni ambayo Chadema inachangiwa na wananchi katika Mikutano yake ni balaa, huku Taarifa zingine zikionyesha kwamba...
CHADEMA Dodoma Yatia Shaka Mwenendo wa Kesi ya Tundu Lissu 'Haki Inachelewa Kupatikana' wakiendelea kusema wanahitaji Mwenyekiti wao Tundu Lissu awe huru kwa sababu kesi iliyomuweka ndani mwaka...
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Inapaswa kwa sasa asiwepo Mitaani,inapaswa awe ndani ,inapaswa awe kwenye ulinzi mkali wa Magereza ,inapaswa awe kwenye Mfululizo wa mahojiano na kujibu...
Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni katika Kata ya Mlenge ambapo amewaahidi wananchi wa Kata hiyo kuwa endapo wakipiga kura za ndiyo na kuchagua Chama Cha...
CCM Kazi munayo... hivi hawa watu huwa munawachuja namna gani mpaka munawaleta sebuleni kwa kadamnasi?
Sikilizeni wenyewe hapa: https://youtube.com/shorts/DteGyHfWMlI?si=G2EpvTOYd3oogcVh
Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC.
Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha...
Rais Samia aunda Tume Maalum ya Jinai Kuchunguza Ghasia za Uchaguzi.
Rais Samia Suluhu Hassan ameunda rasmi tume maalum ya uchunguzi wa makosa ya jinai kwa ajili ya kuwabaini na kuwashtaki...
Huu mkeka wa ufisadi umepamba moto miaka ya karibuni bila kuchukuliwa hatua,
TAKUKURU ina fuatilia vidagaa, na ni kwa vile wakubwa wanahusika katika hii grand corruption.
Ujenzi sasa hivi ni...
Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo...
Kwa taarifa Tu. Tunaendelea vyema kulipa deni letu huko Iran. Hatuja default hata mara moja (kwa lugha ya kimkopo).
Sema sasa ukiniuliza Mkopo tulifanyia nn ndio sijui.
Wabillah Taufiq.
---...
Wabunge wenye michango yenye mashiko katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo wengi. Lakini hapa wanatajwa wabunge 7 tu ambao wakipewa nafasi ya kuongea, michango yao au hoja zao...
Mama Samia anaunda tume kila siku za kitapeli ambazo wanataka kutumika kusingizia matatizo ya vurugu wapinzani. Wameishiwa mbinu sasa tume zenyewe za mchongo kazi yake ni kuja na mapendekezo ya...