Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ASKOFU Benson Bagonza amesema Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. "Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa...
1 Reactions
11 Replies
860 Views
Ifikie wakati wananchi tupige kelele juu ya propaganda chafu. Kuna magazeti mawili Fahari Yetu na Tanzanite haya magazeti hanaandika habari za uongo na za kutunga tu kuwachafua viongozi wa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Cypriani Musiba amesema kuwa matukio yote ya uharifu kama utekaji na mauaji yamekuwa yakifanywa na kikundi kilichopo ndani ya CHADEMA kinachoitwa TUME kinachoongozwa na mbunge wa Arusha Mjini...
13 Reactions
526 Replies
52K Views
Pamoja na mapito ya hapa na pale na kufanyiwa mtimanyongo na mahasimu wake wa Kisiasa lakini Dr Kigwangalla amesimama Imara Dr Kigwangalla ni Mzalendo asiyetaka ujinga, asiyeogopa kuhoji na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo waziri wa Mawasiliano, Nape ametoa taarifa kuhusu kufungiwa kwa akaunti nyingi sana za Instagram, Facebook na Twitter zinazojuhusisha na suala la ushoga. Wamewezaje kuzifungia akaunti katika...
2 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza...
6 Reactions
132 Replies
8K Views
Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on...
3 Reactions
175 Replies
13K Views
Katika muktadha wa historia ya Zanzibar kuna wanaoamini kuwa hata Marehemu Mzee Karume mwenyewe alijutia yale maamuzi yake ya kuiunganisha Zanzibar na Tanganyika na kuunda Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Tunahitaji kuwekana wazi tujue na hao viongozi wajue kumbe jamii inawatizama utendaji wao wa kazi. Mimi naanza na Jimbo la Kawe, wazee tuliyakanyaga. Gwajima hana jipya, tunaomba 2025 ifike...
8 Reactions
107 Replies
9K Views
Wabunge waache huu utaratibu wa kufuturishwa kule Dodoma, Bunge linazidi kuwa too low sana, Juzi niliona Benki ya CRDB inawafuturisha, sasa chukulia kwamba Benki ikajikuta kwenye kashifa kubwa za...
9 Reactions
67 Replies
5K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 19, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 9. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema "Kuna changamoto ya Popo wanaozunguka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kweli hawa wabunge wanataka wabunge wote waangaliwe ushoga basi waite Daktari na wajue hakuna vifaa maalumu vya kuangalia. Madaktari wanatumia kidole cha katikati na kuvaa gloves kupima...
7 Reactions
39 Replies
6K Views
Mapambano ya kupigania Uhuru wa Zanzibar yalisababisha Zanzibar kufuata mikondo ya siasa za kikabila ambayo ni ngoma iliyopigwa na kuimbwa vyema na wakoloni wa Kiingereza na kuwahemua Wazee wetu...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Kutokana na deni la taifa nchini Kenya kufikia 65%. Serikali imelazimika kusitisha ulipaji mishahara kwa mwezi march, ili badala yake iweze kulipia deni lake la nje! Zaidi msikilizeni Rais Rutto...
8 Reactions
71 Replies
5K Views
Tundu Antipas Lissu hanaga Unafiki na ndio aina ya Viongozi wanaotakiwa zama Hizi za Sayansi na Teknolojia Siasa za Uwongo na kuwafanya Wananchi mazuzu na misukule zimeshapitwa na wakati...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo amechangia Bajeti ya Wizara ya TAMISEMI Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine ametoa hoja mbalimbali...
1 Reactions
5 Replies
804 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony...
8 Reactions
52 Replies
9K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO). Mhandisi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyerere baba wa taifa alisema Katiba ya JMT inamfanya Rais awe nusu Mungu Sasa hawa wanahabari nguli Balile na Kibanda wanahoji nini? Katiba wameisoma na kulielewa? Mnakula hela za Watu...
4 Reactions
14 Replies
946 Views
Back
Top Bottom