Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke...
26 April 2023
Berlin, Germany
JOE CHIALO SASA NI SENETA KTK BARAZA LA SENETI JIMBO LA BERLIN
Seneta Joe Chialo atahusika kusimamia masuala nyeti ya Utamaduni, Maridhiano, Ushirikishwaji na...
Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri...
Sijui kwanini kwenye mambo serious Chama Tawala huwa hakipendi kutumia Watu makini.
Fikiria Watu kama Kigwangalla, Kibajaj, Msukuma ndio wa kumjibu Bashiru kwa niaba ya Chama
Au mtu kama Dkt...
Nakumbuka mzee Lowassa kwenye Uchaguzi mkuu wa 2015 alisema endapo atachaguliwa ataanzisha Wizara ya Dini
Sasa kupitia Citizen TV baadhi ya Wabunge wa Kenya wametaka ianzishwe Regulatory...
Kama Mtendewa alitoa fursa ya kuombwa msamaha ili yaishe lakini Mtenda akakataa maana yake ni Moja tu " kiburi"
Kwahiyo wanaoomba msamaha leo ndio waliomkosea Mh Membe?
Musiba aachwe avune...
MAJIBU YA MHE. MEMBE KWA ASKOFU MWAMAKULA
Baba Askofu Salaam na Asante kwa barua yako ambayo umenitaka nimsamehe Musiba kwa sababu Amesalimu Amri na kwamba hana hela hata kama atauza kijiji...
Nimefuatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Madini uliofanywa leo 27 April 2023 na Waziri Dotto Biteko Bungeni na nimevutiwa na maendeleo makubwa yaliyofikiwa na sekta hiyo hasa katika...
Bungeni waziri Mkuu Kassim majaliwa amepiga marufuku askari wa wanyamapori kuvamia akitaka watoe taarifa kwa umma juu ya operation, hivi anajua kuwa wenyeviti wa vijiji ndio mawakala wa majangili...
Wanajukwaa
Mada tajwa hapo juu inahusika moja kwa moja kwa mjadala mpana.
Ombi kwa
1. Serikali kuu
2. Makamu wa rais muungano na mazingira
3. Tamisemi
Kwanza mamlaka husika ipongezwe kwa...
Kwa takribani wiki kadhaa nchini Tanzania Kuna "Machoko" watu wamepigwa mvua ya mawe ya miaka 30 jera Kwa kuliwa kalioa!
Hicho hapo juu ni kibwagizo ila ni kweli imetokea Tanzania,mnisamehe...
Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi...
Ajira 21000+ Ni chache Sana, watakosa wengi ,na wengi watahisi bila Pesa /connection huwezi ajiriwa
Nashauri, Kigezo kikuu kiwe waliomaliza 2015, 2016, 2017...
Hii itasaidia Sana kuondoa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa...
Kutokana na utafiti wangu mdogo nilio ufanya katika nchi ya Tanzania nime gundua kitu kimoja
Raia wengi wa Tanzania wanapenda na wanataka nchi yao kuwa na maendeleo kama yalivyo mataifa haya:-
i...
Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wakiwa Ujerumani na makamu Mwenyekiti Tundu Lissu ameomba waungwe mkono na watu wote wanaopenda kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mnyika...
Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana.
Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar...