Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema, "acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela miaka27). Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless...
9 Reactions
32 Replies
564 Views
WAPONGEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA KUHUSU MABASI KUTOPITA KWENYE MIZANI Baadhi ya abiria, wadau wa usafirishaji pamoja na madereva wa mabasi hapa nchini wameipongeza Serikali...
4 Reactions
17 Replies
380 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na...
5 Reactions
76 Replies
1K Views
Mbinu ya CHADEMA YA "Win the crowd, and fate will kneel before you" IPO ASILIMIA 70% KUELEKEA KUIANGUSHA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Katika Falsafs za siasa. Zipo mbinu nyingi Sana...
14 Reactions
80 Replies
1K Views
Kwa kuwa sijui Kama nimeamka vibaya au vizuri naomba niende moja kwa moja kwenye kilichonituma niulize swali hapo juu. Kumekuwa utaratibu uliozoeleka hapa bongo unaoitwa Siri za nchi na kwanini...
14 Reactions
118 Replies
10K Views
Toka maza juzi atoe boko mbele ya jukwaa la biashara kwa kuwapiga mikwara vijana kwa atawatandika mikwaju basi ni kelele kote watu walidhani maza angekuwa kinyonge kumbe unyonge sio pigo zake sasa...
4 Reactions
14 Replies
291 Views
Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
3 Reactions
32 Replies
375 Views
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
4 Reactions
13 Replies
260 Views
Chadema ni Imani. Imejengwa kwa imani katika mioyo ya watu, including me and you!
8 Reactions
10 Replies
250 Views
Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana...
20 Reactions
63 Replies
4K Views
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mapema leo Shekhe Said Mwaipopo amewataka wale wanaoshutumu viongozi wa ulinzi na usalama katika utekelezaji wa kazi zao hasa katika kipindi...
1 Reactions
9 Replies
242 Views
Rais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei...
5 Reactions
7 Replies
253 Views
Ameonekana kwenye Mitandao yake ya kijamii akifurahishwa na alichokiita kufunguliwa kwa Demokrasia, huku akisifu Hoja za CHADEMA na kushangazwa na Mkutano wa chadema kuhudhuriwa na. Watu wote...
7 Reactions
13 Replies
535 Views
Vijana waliojitambulisha kama Wakenya wakimsifia Rais Samia. Hebu wasikilizeni na nyie Viongozi wa Malawi wanatafuta sana legitimacy. Inatia aibu sana
1 Reactions
5 Replies
173 Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Mbeya, ambayo tumeona ni vema kuwashirikisha Baada ya Bilionea Joseph Mbilinyi kutangaza uzinduzi wa Mikutano ya hadhara ya CHAMA chake Mjini Uyole, baadhi ya wanaccm...
4 Reactions
15 Replies
329 Views
Hatimaye Apostle Boniface Godwin Mwamposa (Bulldozer) uvumilivu imemshinda. Tundu Lissu yupo Gerezani, Samia kupitia tume alounda Kakiri kaua watu 500 ili awe Rais. Hata kabla ya kugombania...
9 Reactions
40 Replies
916 Views
Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa...
3 Reactions
11 Replies
281 Views
My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za...
1 Reactions
18 Replies
372 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka Maafisa Habari, Itifaki, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kufikisha taarifa...
2 Reactions
3 Replies
221 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…