Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi. Pia, Soma: Rais Samia...
12 Reactions
205 Replies
18K Views
Mbunge wa Bariadi Eng Kundo Mathew wakati akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais amesema wanabaridi wanamdai fomu ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, mengine waachiwe wanabariadi...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Rais Samia wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu amesema ni lazima maendeleo yetu tujizatiti wenyewe. Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia...
0 Reactions
10 Replies
693 Views
Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya...
0 Reactions
4 Replies
612 Views
Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika...
1 Reactions
3 Replies
388 Views
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya...
1 Reactions
12 Replies
628 Views
mwizi wa kura ni kama mwizi anayevunja duka, kuiba fedha na kufanya matukio mengine kama hayo hivyo anapaswa kushughulikiwa kama wezi wengine. Akizungumza leo Juni 18, Katika viwanja vya...
0 Reactions
3 Replies
407 Views
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga. "Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna...
21 Reactions
212 Replies
13K Views
Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa, Soma...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
5 Replies
451 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dodoma 2022-2023) Salum Ismail Salum ametangaza nia yakugombea ubunge jimbo la Kahama Mjini baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya...
2 Reactions
10 Replies
520 Views
CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli...
15 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa sana Stephen Wasira Ameunguruma na kuitetemesha Geita. Ametoa ujumbe Mzito Sana ulio wabubujisha watu machozi ya furaha. Embu...
-1 Reactions
5 Replies
396 Views
Wakuu Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa. Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai"...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Back
Top Bottom