Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huku nyuma awamu ya 5 kila jaribio la wale nawaita wahuni kushika ndege za ATCL ili kulipwa madeni ya mchongo na Tanzania yamekua yanashindwa na ndege zimekua zinaachiwa baada ya muda mfupi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi . Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa...
3 Reactions
84 Replies
4K Views
Serekali iruhusu uraia wa nchi mbili kwa sababu unafaida nyingi sana, ila usingatie vegezo vifuatavyo ambavyo vigeuzwe kuwa sheria Ukiwa raia wa nchi mbili hutakiwi kugombea urais Ukiwa raia wa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Baraza la Wanawake Chadema limeandaa maandamano ya kumshinikiza Spika wa bunge Dr Tulia awaondoe bungeni Wabunge 19 wanaodaiwa ni wa Chadema yaani Halima James Mdee na wenzake 18 Maandamo hayo...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetumia muda mwingi kufiatilia vikao vya mabunge ya nchi nyingi Duniani, Mabunge ja Nchi za Jumuia ya Madola na oia Mabunge ya nchi zingine zikiwemo za West Africa, North Africa, Asia na hata...
1 Reactions
9 Replies
849 Views
Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono amelishwa sumu wakati akiwa kwenye safari ya kikazi jijini London nchini Uingereza, imeelezwa. Kwa mujibu wa tovuti ya The Citizen, Mkono ambaye pia ni...
20 Reactions
222 Replies
86K Views
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo. Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi...
0 Reactions
7 Replies
816 Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amewalaani Viongozi wa CCM kwa kugawana rasilimali za nchi vikiwemo viwanda na kumtaja mmoja wa wanufaika wa ubazazi huo ni mbunge wa Morogoro...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao. Si hivyo tu hata majaji wetu...
25 Reactions
159 Replies
8K Views
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu...
22 Reactions
201 Replies
11K Views
Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa...
0 Reactions
3 Replies
636 Views
Kwa maoni yangu Magufuli aliongoza nchi kwa namna tofauti kabisa ya ajabu na ya kutia moyo wengi na kuwavunja moyo wengi vilevile. Mama Samia ni tofauti kabisa na Magufuli anafanya kazi ya...
0 Reactions
14 Replies
835 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Happy Birthday Mzee Mwinyi. Umeona niliandika pale mwanzo kwa nini Hussein anakwenda huko kila wakati, kumbe leo birthday ya Mzee.
1 Reactions
3 Replies
978 Views
Katika salamu zake kwa baba askofu mteule Elirehema wa KKKT Dayosisi ya Dodoma Makamu wa Rais Dr Mpango alimsomea Neno Kutoka 1 Timotheo 3:1-10 Sifa za mtu anayetamani kuwa Askofu Source: Upendo...
1 Reactions
14 Replies
798 Views
Kwanza nataka niwaambie watoto mliovamia siasa kaeni mjifunze kuhusu nchi yetu ya Tanzania muielewe vizuri. Shida kubwa ya vijana walio na mzuka na siasa hawajui kabisa kuhusu nchi wala game ya...
35 Reactions
86 Replies
5K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema amewataka NEMC wapite nchi nzima kufungia bar zenye Kelele Watanzania wengi mitaani na mitandaoni wanaipongeza serikali kupitia baraza la...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Na Gordon Kalulunga Watu wa Nyikani wanatuonya kuwa hatupaswi kuficha Sabuni kwenye Maji maana itayeyuka. Na anayeshangaa kutokuta Sabuni ndani ya Maji bali kuona povu wakati yeye aliificha hiyo...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe...
22 Reactions
183 Replies
7K Views
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja...
28 Reactions
164 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…