Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka...
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma. Ni maandamano ya kutoka Uyole. Naibu Waziri Mkuu anazomewa Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa...
30 Reactions
144 Replies
13K Views
Mwalimu Nyerere akipinga azimio la Bunge lililopitisha azimio kwa kauli moja kuwa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uwe wa Serikali 3, alisema kuwa CCM ilienda kwa wananchi wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri...
1 Reactions
4 Replies
744 Views
Ikiwa leo ni Tarehe 2 May 2024, Tundu Lissu, ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema ameongoza Maandamano Makubwa ya kupinga dhiki, Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Hali ndio kama...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Mgombea mwenza wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitokea Zanzibar mgombea urais anakuwa ametokea nchi gani? PIA SOMA - Muungano wa Tanganyika na...
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa. Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu. Nia...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Hayo malumbano yamekaa kimarekani mmetutoa Ukrane mkatupeleka gaza na sasa mnatuelkeza Iran. Muungano uwepo usiwepo tunahitaji tume huru ya Uchaguzi,mmetutoa kwenye Katiba mkatupeleka kwenye...
1 Reactions
2 Replies
452 Views
Naona moto wa Chadema (Tundu Lissu) umewaka Tanzania nzima. Naona huu moto ni kama ule wa vijana wa Senegal Marais wa sasa (Rais na makamo wake) walivyo uwasha moto mpaka wakaingia ikulu ya...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Waandaaji wa wiki ya Maandamano ya Amani (awamu ya kwanza) na kwa niaba ya Wapenda haki wote duniani, nachukua Fursa hii kuwashukuru watu wote kutoka pande waliowezesha Maandamano...
3 Reactions
6 Replies
528 Views
Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba...
14 Reactions
83 Replies
5K Views
Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani...
0 Reactions
2 Replies
354 Views
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya...
16 Reactions
40 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther...
1 Reactions
0 Replies
551 Views
Mwanasiasa wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Sheria mpya ya Tume ya Uchaguzi imefuta Sheria zote za uchaguzi wa zamani na hivyo TAMISEMI imefutwa rasmi kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
2 Reactions
1 Replies
971 Views
Deo Sanga ambaye ni Mbunge wa Makambako ni mtu ambaye amekuwa na misimamo ya kutetea viongozi wa nchi na kuwasifia mara kwa mara Wakati wa utawala wa Magufuli, Sanga aliwahi kunukuliwa akiwa...
2 Reactions
8 Replies
674 Views
Salaam, shalom!! Leo ni mei mosi, siku pekee na muhimu Kwa wafanyakazi Nchini. Watumishi wa umma wanasherehekea mei mosi katika mazingira magumu, mishahara isiyotosheleza, Kodi kubwa, kukosa...
1 Reactions
4 Replies
973 Views
Back
Top Bottom