Humprey Polepole alijua anapiga picha na Rais kumbe anapiga picha na Samia
Watanganyika walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia
Walitamani mtu wa kuwatoa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad Mussa Salum, amekosoa vikali muswada wa maseneta wawili wa Bunge la Marekani, akiitaja hatua hiyo pingine kuwa ni wivu kwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) akiwa Bungeni jijini Dodoma leo Mei 26, 2026, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa...
Akizungumzia ziara za waziri mkuu jinsi watu wanavyojitokeza kwa wingi na matatizo wanayoywasilisha kwa waziri mkuu.
Mtangazaji huyo wa redio anasema hii inaonyesha wazi kwamba system zimefeli...
Hofu kubwa imetanda kufuatia tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC) Padri Dkt.Charles Kitima.
Kupitia mitandao ya kijamii...
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi...
Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa...
Wakuu,
Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
"Katika mwaka wa fedha 2026/2027, Wizara...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani...
Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussi akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026
"Wanadamu wengi tuna tabia na mapungufu ya kutokujua thamani ya kitu ambacho tunacho. Thamani hii...
Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali...
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini (ACT Wazalendo), Ado Shaibu, ameibana serikali akitaka majibu na maelezo ya ziada kufuatia tukio la karibuni kabisa la kutekwa kwa David Jumbe, msaidizi wa Mwenyekiti...
Samia, katuharibia Nchi. Zamani tulikuwa tunamuona Polisi tunakimbia.. Tukimuona na bunduki tunazima.
Lakini baada ya mauaji ya 29.10.2025, ambayo Samia alikuwa analazishia kuingia madarakani...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa amani iliyopo nchini kwa kiasi kikubwa imechangiwa na kazi kubwa inayofanywa na majeshi ya ulinzi na usalama, huku akitoa wito kwa...
Tuliwaonya Hawa Wauaji, Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi wa Okt 29.
Tukawaonya, Baada ya Okt 29 Hali zenu zitakua Ngumu sana .
Tukawaonya ACHENI VITA NA KANISA , Acheni Kabisa ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema kuwa serikali itachukua hatua kali dhidi ya mtu yeyote atakayesambaza taarifa za uongo dhidi ya serikali au mtu binafsi.
Amesema hata...
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA:
TAIFA LISIPOHESHIMU LOGIC HUTAWALIWA NA KELELE, HOFU NA USANII WA UONGO
Na Silvio Mnyifuna
“Logic is a practical science of correct thinking.”
Hii si sentensi ya...
Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya...