Tanzania tulitamani Kiongozi bora, tukampata Samia!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,614
Reaction score
62,401
President_Samia_Suluhu_Hassan_and_Ambassador_Humphrey_Polepole_March_15__2022.jpg

Humprey Polepole alijua anapiga picha na Rais kumbe anapiga picha na Samia

Watanganyika walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia

Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia

Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa Samia.

Samia mwenyewe tena wa kupachikwa kwa bandeji na genge linalotafuuna Nchi.

Nchi yetu Tanganyika Mungu ataisaidia ipo Siku itapata Rais asiye Samia
 
Watanza walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia

Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia

Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa Samia.

Samia mwenyewe tena wa kupachikwa kwa bandeji na genge linalotafuuna Nchi.

Nchi yetu Tanzania Mungu ataisaidia ipo Siku itapata Rais asiye Samia
Yes ni kweli kabisa,
Tanzania ilihitaji kiongozi bora , na Mwenyezi Mungu akatupatia kiongozi bora zaidi, madhubuti zaidi, mchapakazi na mwenye bidii zaidi na asiechoka wala kuyumba katika nafasi yake ya utumishi wa umma Tanzania

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Kiongozi bora ambaye atasikiliza malalamiko ya wananchi bila kujali ni wa upande gani, bila kujali idadi ya walalamikaji, atakayethamini utu,haki na usawa na kuhakikisha kuwa wananchi hawabaguliwi katika nchi yao.
Ambaye hatotumia fedha za umma kuwalipa watu ili wamsifie(machawa).
 
Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%

Kwa mfano,
wananchi walidai marufuku ya mikutano ya hadhara iondolewe na Dr Samia Suluhu Hassan akaiondoa, wananchi waliomba waliotoroka nchi warejeshwe nchini Dr.Samia Suluhu Hassan akawatejesha wote, wananchi walitaka wakurugenzi wa halmashauri wasisimamie uchaguzi Dr Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuwaondoa watu hao kusimamia uchaguzi, wafungwa magerezani waliomba wawe wanapiga kura, Dr.Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuruhusu jambo hilo, wanafunzi vyuo vikuu waliomba mikopo na sasa wote wanapata mikopo hiyo.

Kiujumla,
tumepata Rais ambae akiahidi kitu kwa maneno, basi anatekeleza kwa vitendo kwa muda muafaka kabisa.

So,
nchi imepata kiongozi bora ambae kwakweli inafaa kama taifa kumshukuru Mungu sana kwa zawadi hii ya kipekee.

hizo zingine ni porojo zako binafsi gentleman, 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Watanza walitamani kuwa na kiongozi bora anaye thamini uhai wa watu, ila wakampata Samia

Walitamani mtu wa kuwatoa kwenye Wimbi la umasikini, wakampata Samia

Walitamani kiongozi wa kuwaunganisha kama Taifa wakampa Samia.

Samia mwenyewe tena wa kupachikwa kwa bandeji na genge linalotafuuna Nchi.

Nchi yetu Tanzania Mungu ataisaidia ipo Siku itapata Rais asiye Samia
Polepole tu tutapata rais mzuri na chama kizuri cha kuongoza nchi yetu, hawa waache wapite tu.
 
Yes ni kweli kabisa,
Tanzania ilihitaji kiongozi bora , na Mwenyezi Mungu akatupatia kiongozi bora zaidi, madhubuti zaidi, mchapakazi na mwenye bidii zaidi na asiechoka wala kuyumba katika nafasi yake ya utumishi wa umma Tanzania

God bless Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
😎😎😎 Tanganyika maisha ni magumu sana na pesa inatafutwa sana
 
Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%

Kwa mfano,
wananchi walidai marufuku ya mikutano ya hadhara iondolewe na Dr Samia Suluhu Hassan akaiondoa, wananchi waliomba waliotoroka nchi warejeshwe nchini Dr.Samia Suluhu Hassan akawatejesha wote, wananchi walitaka wakurugenzi wa halmashauri wasisimamie uchaguzi Dr Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuwaondoa watu hao kusimamia uchaguzi, wafungwa magerezani waliomba wawe wanapiga kura, Dr.Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuruhusu jambo hilo, wanafunzi vyuo vikuu waliomba mikopo na sasa wote wanapata mikopo hiyo.

Kiujumla,
tumepata Rais ambae akiahidi kitu kwa maneno, basi anatekeleza kwa vitendo kwa muda muafaka kabisa.

So,
nchi imepata kiongozi bora ambae kwakweli inafaa kama taifa kumshukuru Mungu sana kwa zawadi hii ya kipekee.

hizo zingine ni porojo zako binafsi gentleman, 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
We mtoto wa juzi nyamaz kimya usishindane na wazee wako.
 
jikite kwenye hoja mahususi bila kuweweseka ndugu mdau,

ujana au uzee ni vitu useless kwenye mijadala,
Jitahidi kutoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine na sio kumbwelambwela nonsense jukwaani.

Dr Samia Suluhu Hassan ni kiongozi bora zaidi Tanzania na Africa kwa ujumla 🐒
 
Dr.Samia Suluhu Hassan anasikiliza na kutekeleza matakwa ya wananchi wake na anazingatia kikamilifu katiba ya Tanzania kwa 100%

Kwa mfano,
wananchi walidai marufuku ya mikutano ya hadhara iondolewe na Dr Samia Suluhu Hassan akaiondoa, wananchi waliomba waliotoroka nchi warejeshwe nchini Dr.Samia Suluhu Hassan akawatejesha wote, wananchi walitaka wakurugenzi wa halmashauri wasisimamie uchaguzi Dr Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuwaondoa watu hao kusimamia uchaguzi, wafungwa magerezani waliomba wawe wanapiga kura, Dr.Samia Suluhu Hassan akawasikiliza na kuruhusu jambo hilo, wanafunzi vyuo vikuu waliomba mikopo na sasa wote wanapata mikopo hiyo.

Kiujumla,
tumepata Rais ambae akiahidi kitu kwa maneno, basi anatekeleza kwa vitendo kwa muda muafaka kabisa.

So,
nchi imepata kiongozi bora ambae kwakweli inafaa kama taifa kumshukuru Mungu sana kwa zawadi hii ya kipekee.

hizo zingine ni porojo zako binafsi gentleman, 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naona unarudia rudia kuandika neno Dr Dr Dr, huo u Dr aliusomea chuo kipi?
Kwa akili ipi aliyonayo??.
Form 4 yenyewe alisema kwa mdomo wake kwamba alifeli!.
 
Dr.Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa viongozi na wakuu wa nchi bora zaidi Africa gentleman,

ukweli huo utakua hivyo na bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote wa JF 🐒
 
Back
Top Bottom