Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi. Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa . ====== Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa...
20 Reactions
124 Replies
3K Views
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi. Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela...
8 Reactions
179 Replies
7K Views
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA. Majibu hayo yamekuja baada ya member...
23 Reactions
93 Replies
8K Views
Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake. Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
8 Reactions
96 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo: Tanga tarehe 15 June Arusha 16 June Manyara 18 June Kilimanjaro 19...
2 Reactions
12 Replies
668 Views
MNAACHA KUFUNGA MAFISADI NA WANAODHULUMU WANANCHI MNATAKA KUFUÑGA k X (Twitter) ACHENI UNAFIKI. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Ni kweli ushoga ni mbaya hilo hata sisi Watibeli tunajua na...
9 Reactions
8 Replies
707 Views
Tamthilia: Uchaguzi wa Urais mwaka 2025, Mwenge wa Demokrasia Wahusika Wakuu 1.Amani Chawote- Mgombea urais wa chama cha Demokrasia kwa Kila Mtu (DKM) 2.Salama Mwita - Mgombea urais wa chama cha...
2 Reactions
4 Replies
435 Views
Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati...
2 Reactions
5 Replies
601 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Daktari Samia Suluhu Hasssan ameibua shangwe na kuteka hisia za watanzania wengi sana, baada ya Rais wetu mpendwa...
11 Reactions
144 Replies
4K Views
Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
"Inawezekana wenzetu hawa kwa tamaa za madaraka hawajatilia maanani suala hili (Muungano) viongozi hao wanafikiri kuwa lugha hizo za kuhatarisha muungano zina mashiko kwa wapiga kura wao na kana...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Akisoma Bajeti ya Serikali Bungeni Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba ametoa onyo Kali Kwa Viongozi wa Kisiasa wanaopanda mbegu za chuki, ubaguzi na kuvunja utaifa wa Tanzania kuacha mara Moja...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda, Amesema kuwa ataendelea kupokea na kutekeleza maagizo ya Chama (CCM) kwakuwa chama hicho ni Kikubwa kuliko Serikali. Source: Habari mpya
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu. Mwaka huu...
2 Reactions
53 Replies
968 Views
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni 1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea 2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo 3. Bunge kufatiliwa na watu...
3 Reactions
1 Replies
375 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
5 Reactions
140 Replies
4K Views
Back
Top Bottom