Nilipotembelea Zanzibar hivi karibuni, nilibaki na maswali mengi kuhusu hali ya ACT Wazalendo. Chama ambacho kilikuwa na mvuto mkubwa wa kisiasa, kilichokuwa na mikutano yenye hamasa, matawi yenye...
Watanganyika wote walioko Zanzibar ni tumbo Joto. Waanza kuzuiwa kuingia Ofisini kufanya kazi. Iinadaiwa wanafanya kazi za Wazanzibar na Vijana wa Zanzibar wanakaa jobless.
MY TAKE
Watanganyika...
Nianze kwa Istilahi hii ngeni.
Mamlaka ya Kiraia.
istilahi hii inapaswa kuwa ndio mwelekeo wa Watz wanaporefer maana ya Serikali.
kwani kunekuwa na upotofu kuwa Serikali ni Watendaji wa...
Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani.
Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE
Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
Kwanza kabisa ni muungano ambao wananchi hawakushirikishwa kuhusu muungano wenyewe.
Baraza la wawakikishi halikurudhia kuwepo kwa muungano huu. Ratification haikufanyika kabisa.
Wazanzibari...
Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na...
Duniani Tundu Lissu ni mmoja tu na yuko mahabusu siyo kwamba anakosa bali maCCM hawa uwezo wa kupambana naye.
Mtu aliyekaribiana na huyu huko CCM alikuwa Magufuli bahati mbaya kwa sasa hawana
TAARIFA KWA UMMA.‼️
19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja...
Kwa hili nawapongeza viongozi wa Chadema wametumia akili kubwa
Maana yake kama Mnyika atakuwa kwenye maandamano hatachululiwa kama chadema Bali kama raia na mwananchi wa kawaida
Kwa hiyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya...
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia Facebook anasema
Nitangulie kutangaza msimamo wangu.
a) Siungi mkono maandamano ya 7/7 na siamini kama yatafanyika.
b) Hata yakifanyika, siungi mkono...
Kwa mambo yanavyoendelea sasa Tanzania, ni wazi hakuna mtu wa kuutetea tena Muungano. Muungano ulikufa na ukazikwa kaburi moja na Nyerere.
Ni wazi sasa Zanzibar wanaitumia nafasi ya Samia kuwa...
Nimezipokea taarifa hizi za Kifo cha RPC wa Tabora Richard Abwao kwa masikitiko makubwa mno kwani licha ya kuwa alikuwa ni Ndata (Polisi) ila alikuwa ni Mtu muungwana mno.
Tangulia Kaka Richard...
Kuna mabilioni ya fedha yanapelekwa Zanzibar. Kuna harakati zilizoratibiwa zinazofanywa na wanaojiita Wazanzibari za kutaka kuvunja Muungano wa Tanzania.
Moja ya mbinu wanazotumia watu hawa ni...
Nchi ambayo inajadiliwa kwa UBAYA Dunia nzima unaenda kufanya nini?
Kwanini unajiharibia kirahisi namna hii?
Hakuna utakacho pata kila mahali pameuzwa.
Soma pia Rais wa Namibia kufanya ziara...