Mtu anayemdharirisha mkewe wa Ndoa kwa mambo madogo madogo kama ya Mpira hafai kabisa kuwa Mbunge iwe ni Kawe au Kigamboni, anasema mzee Mgaya
Mzee Mgaya anasema CCM inaweza ikajichanganya na...
Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko...
Kila tunapokaribia duru za uchaguzi wa Serikali za Mitaa vuguvugu na joto la siasa linapanda. Kuna suala la wabunge 19 walikuwa CHADEMA na ambao suala lao liko mahakamani.
Hawa wabunge...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya...
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi...
Kuelekea chaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 kuna utekaji wa raia wanaounga mkono vyama pinzani wengine wakipotezwa kabisa.
Lengo linaweza kuwa kuwatisha raia kujihusisha na...
Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais...
Hakuna siri tena, hali huko mitaani imeshakuwa tete, raia wameanza kusanda, wameanza kufunguka na kuweka wazi kuwakataa wazi wazi viongozi wote waliobebwa na Magufuli mwaka 2020.
Viongozi wote...
Hakuna chama chochote Cha siasa nchini Tanzania kilicho na sera Bora zaidi ya ACT Wazalendo. Ndiyo chama pekee kilicho na sifa zifuatazo:
1. Kina azimio, linaloitwa Azimio La Tabora. CCM walikua...
Kuna vuguvugu la chinichini la baadhi ya wabunge wa viti maalumu kati ya 19 waliovuliwa uanachama wa Chadema kurejea ndani ya chama hicho.
Vuguvugu hilo ambalo pia linazua mjadala wa pande mbili...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka...
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.
Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja...
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.
Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa...
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .
Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .
Kina Erythrocyte ,Lucas...
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr...
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela 🐼
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025...
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni
Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura
Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi...
Natoa tu angalizo maana vibe za akina Mwabukusi ndio habari ya mjini kwa sasa
Akina Babu Tale wanauchukulia Ubunge kama Ajira
Karibuni Nanenane Arusha
Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni 🌹
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.