johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni
Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura
Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi huyo akawa mwizi na Fisadi basi utakapomshtaki Kwa Mungu wa Mbinguni ataadhibiwa Kwa kipimo kile kile Cha Wizi na Ufisadi wake
Somo Pia: Uchaguzi huru na haki huanza na mimi kupiga kura. Kura ni sauti yangu
Mlale Unono 😃