Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J...
8 Reactions
17 Replies
211 Views
Mwanasiasa John Heche amesisitiza haja ya kufanya mabadiliko ya kikatiba nchini ili kuimarisha uhuru wa vyombo vya sheria na mahakama, akitolea mfano mfumo wa teuzi za majaji nchini Kenya ambao...
2 Reactions
9 Replies
147 Views
Mabasi yapo Maeneo Mengi ya Dar kwenye ofisi zao Binafsi ili kuturahishia Maisha.sio chanzo cha Foleni! Shida ni Yard na Maloli kila kona, Mkuu wa Mkoa aelekeze nguvu zake kwenye Malori na Dry...
10 Reactions
42 Replies
415 Views
Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 (IWTz2026) imezinduliwa rasmi, ikiashiria mwanzo wa uhamasishaji wa kitaifa wa wavumbuzi, wajasiriamali, watunga sera, wawekezaji, watafiti, washirika wa maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Kesi ya uhaini namba 19605/2026 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, itaendelea leo Jumatatu, Agosti 17, 2026 katika Mahakama Kuu ya...
5 Reactions
11 Replies
333 Views
Rais Samia Suluhu, amewajibu wakosoaji wanaojiuliza na kuhoji kuhusu matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar, akieleza kuwa ushindi huo mkubwa wa asilimia 97 ulitokana na mshikamano mkubwa kati ya...
6 Reactions
82 Replies
1K Views
Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la Kukutana na...
14 Reactions
108 Replies
3K Views
Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8 Mbezi Ubungo Chanika Mbagala Kigamboni Kigamboni Tegeta bunju Kinondoni Na hizo stendi kuwe na private...
9 Reactions
46 Replies
617 Views
  • Redirect
SWALI chonganishi wazanzibar hawakunyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi kujificha uvunguni MWA kitanda. ILA watanganyika walinyakuliwa kisa walipiga kura na kurudi majumbani mwao sebureni...
1 Reactions
– Replies
– Views
Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe...
2 Reactions
24 Replies
305 Views
Kabudi: Kwa sababu naongea na watu mnaomwamini Mungu...Mungu akishawapa kiongozi mmpende, mheshimu... shikana naye. Kumbukeni habari ya Sauli katika Bibilia. Waliomtafuta na yaliyowakuta.Mungu...
9 Reactions
72 Replies
947 Views
Bana nimeona watu wengi wenye pesa wakilala usingizi mgumu usiku, wakihesabu hela zao badala ya kufurahia maisha. Hata mimi nilipokuwa na pesa nyingi, nilikuta najiuliza "kwanini sijafurahi?"...
4 Reactions
12 Replies
213 Views
Fikiria kiongozi wa kamati kuu hajui hata trillioni 230 ni nini. Hakika CCM imefika mwisho.
2 Reactions
19 Replies
336 Views
Bana nimeona watu wengi wakipambana na pesa kama ni jambo la maisha, lakini ukweli ni kwamba pesa ni kama chumvi, ukikosea utajua shida lakini ukiweka nyingi kwenye chakula unaharibu kila kitu...
13 Reactions
33 Replies
443 Views
https://youtube.com/shorts/sNRkCxTNwsw?si=zY5a8w0jsQ8nDxgJ
3 Reactions
4 Replies
177 Views
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwenye...
3 Reactions
16 Replies
460 Views
Yaliyotokea Oktoba 29,kwa maoni na mawazo yangu yametokana na yafuatayo 1.Kukosekana kwa usawa wa kidemokrasia katika chaguzi, 2.Udini,Uzanzibar na Ujinsia. Suluhisho. 1.Kwa chama chochote cha...
1 Reactions
5 Replies
101 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali...
1 Reactions
13 Replies
233 Views
FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…