Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu mfumo kuwapa wabunge pensheni kila baada ya miaka mitano haufai. Ingefaa Wabunge walipwe pensheni baada ya mbunge kuachia ubunge na kutokuwa mbunge angalau miaka 10 mfululizo. Ikitokea baada...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Mtoto wa Makamu wa kwanza na Waziri Mkuu mstaafu Mhe. John Malecela Bw. Samwel Malecela hivi sasa anafanya kampeni kubwa kupitia watendaji wa kata 19 za Mtera ili apate nafasi ya kugombea ubunge...
5 Reactions
146 Replies
23K Views
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona? Naomba picha nilione na mie Pia soma > Mbunge wa Simanjiro...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Awamu ya tano ya Mh. Rais Magufuri watu wengi waliisema kwa udikteta na mambo mengine kama hayo lakini angalau kwenye teuzi alijaribu kuweka sura na majina mapya Awamu hii ni kama watu...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Candidate Running mate Party Anna Elisha Mghwira[42] Hamad Mussa Yussuf Alliance for Change and Transparency (ACT) Edward Lowassa[42] Juma Duni Haji Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Licha ya TANESCO kutoa adhabu ya kugawa Umeme Kwa wananchi wa TANZANIA na kuendeleza mateso hawajaridhika na sasa wameamua kufungulia maji ya bwawa la nyerere na kusababisha mafuriko makubwa na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake...
13 Reactions
282 Replies
17K Views
Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3. Akazidi kuelezea...
10 Reactions
69 Replies
8K Views
Unaweza kuitafakari Chama kikuu Cha Upinzani kinafanya Uchaguzi wa Ndani kitaifa lakini hadi sasa nafasi zote Wanachama wametia Nia na wanafanya kampeni Kasoro nafasi ya Mwenyekiti wa taifa tu...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenyekiti wangu wa chama Rais Mama Samia Suluhu Hassan, najua ilivyokuwa kwenye wakati mgumu kumpata mrithi wa mfitini wako Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Nakupendekezea kijana Amos...
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mambo ni moto, mambo ni Matamu kwelikweli. Tayari kikao cha Kamati kuu ya CCM Taifa chini ya Rais Samia ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM Taifa kimeshaanza na kuendelea...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi...
19 Reactions
67 Replies
6K Views
kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
1 Replies
580 Views
Wabunge kutoka Zanzibar Omar Ali Omar (ACT) - WETE Khalifa Mohammed Issa (ACT) - MITABWE Maryam Omar Said(CUF) - PANDANI Mohamed Said Issa (ACT) - KONDE Seif Salim Seif (CUF) - KUSINI PEMBA...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Enzi hizo zinazodaiwa za ufisadi: -maisha yalikuwa rahisi -hakukuwa na mfumko wa bei -dola zilikuwepo za kutosha tena kwa bei inayojulikana -watu wengi walijenga -ajira zilikuwepo za kutosha...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Askofu Mkuu wa KKKT Dayosis ya Singida Dk.Cyprian Hilint (PhD) amependekeza kwamba Rais Samia Aitwe Mama Wa Taifa. My Take Naunga mkono hoja, Samia anastahili hadhi hii. Kama nawaona...
9 Reactions
207 Replies
12K Views
Natoa ushauri kwa ACT Mzalendo. Kwa mawazo yangu chama chenu kina nguvu kuliko nyie mnavyo jichukulia. Tatizo lenu ni kukubali kidogo bila kujua mkikomaa vizuri mnaweza kupata zaidi na nitawapa...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi...
13 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…