Lissu ni mtu muhimu kwenye mapambano ya kudai mageuzi, tumtumie kabla hatujachelewa

Chalii Wa Kipare

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
386
763
Nilijaribu kupitia Mitandaoni kuangalia kinachoendelea nakugundua Lissu ana Ubongo wa kipekee sana. Anaijua hii nchi na watu wake tofauti na tunavyodhani, ndio maana kauli zake hutafsriwa negative na wale wenye ubongo hafifu.

CCM wanamuelewa sana nini Mwamba anamaani shida yao wahahofia mabadiliko kwani madiliko yoyote ya kimfumo au Kikatiba kwao ni kaa la moto.

Wanachotaka CCM ni ku maintain this status quo kwani inawanya wafanye chochote bila kuhojiwa na yeyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom