Akijibu swali la Mtangazaji Ivyona Kamuntu aliyetaka kujua mpaka sasa PPP Tanzania imefanikisha miradi kiasi gani kwa ujumla wake,
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David...
Bw. Kafulila amesema miradi ya ubia ni salama na imekuwa ikisaidia maendeleo ya sekta mbalimbali duniani. Kwa mfano, kufikia mwaka 2023:
1. 14% ya Viwanja vya ndege vyote duniani vilikuwa...
Kwa Tanzania chama ambacho kinapewa Hela nyingi na wazungu kwa lengo la kuvuruga Amani na uchumi ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA ) kipo Tanzania
Vyama vingine ni New Patriotic Party...
Ukweli umeanza kujitokeza, kwamba Raisi Magufuli amedanganywa kirahisi sana na baadhi ya makampuni katika suala zima la "gawio" la serikali.
Ukweli ni kwamba makampuni haya yalitakiwa kutoa...
Naona kama watanganyika tumesha zoea hili la serikali kuua watu, yani wala hatujali tunaona kawaida tuu, na wala hatuoni kama ni mjadala tena, yani ni kama tumesha kuwa polarised kwa matukio ya...
JWTZ mambo yote yanayofanywa na serikali ya kiraia (CCM ) mnayaona mnayafumbia macho kwasasa usalama wa taifa na polisi ni matawi ya CCM ila nyie JWTZ mmeanza kudharauliwa mno kwasasa ile heshima...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la mwananchi la leo,
Tarehe kama ya leo, Julai, 1, 1996, ndipo Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, ilianzishwa rasmi, hivyo leo, Tarehe 1, July, 2026, TRA...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, atawahoji kwa maswali ya dodoso Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga tarehe 1 hadi 3 Julai 2026...
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, amesema Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato, ambapo kwa mwaka wa fedha 2025/26 imekusanya jumla ya...
Nawapa neno moja kwa leo,
Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa.
Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha...
Mpaka sasa haijulikani Polepole alipo. Ametekwa au ameuwawa.
Haijulikana hata kijana ambae alikuwa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania. Ambae inasadiki2a kuwa alitekwa baada ya kutoka...
Habari wakuu,
Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena,
Kwa sasa ile hadhi ya...
Hamjambo wote!
Kuna kitu machawa na wapambe wengi hawakijui kuhusu siasa na mambo ya utawala.
Na leo mtibeli nitawajuza.
Unapoona serikali. Sijui mawaziri, wabunge, Usalama wa taifa, Majeshi...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida ametoa amri kwa Vyombo vya usalama kutoogopa wala kutomchekea Mtu yeyote anayetaka kuvunja...
Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge.
Watu wanakushutumu wewe...
Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums
Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu...
Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa
=============
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi...