Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi?
Kuna tatizo gani. Kwanini Huu...
Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie...
Taharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥...
Ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina...
Tundu Lissu amejibu tuhuma zilitolewa dhidi yake kwamba anayoyasema kuhusu Rais Samia na mtoto wake Abdul kutoa pesa ili kuvuruga uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Majibu hayo yamekuja baada ya member...
Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini.
Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika...
Salaàm!
* Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola.
* Kutoa...
Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali...
Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je...
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa...
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna.
Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu...
Kwa hakika mambo yakiendelea kwenda yanavyoenda ipo siku nchi itatawaliwa kwa asilimia mia moja na wakoloni usiniulize ni wakoloni wa aina gani kwani hata humu ndani wamo
Taifa limekosa vijana...
Mkuu wa mkoa kupewa Gari yenye special number na bendera ni kulinda hadhi Yako na aliyekuteua kadhalika kukulinda Wewe Binafsi
Sasa huyu Dr Nawanda alijua Yeye ni Sawa na Pambalu tu unaweza...
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani...
Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright.
Ila...
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk.
Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii...
Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi yanayegemea sana demokrasia ambayo ndani yake imo HAKI ya wananchi wote kwa wakati wote. Haki Huinua Taifa. Rais kwa hili linahitaji utashi wako ili...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo:
Tanga tarehe 15 June
Arusha 16 June
Manyara 18 June
Kilimanjaro 19...
https://youtu.be/hHvbungjv-I?si=WvGqWz5ugZWo4yrY
Kuna wakati Mtanzania hakuwa anashughulishwa na tumbo lake tu: kufikiria atalipiaje kilo ya sukari, atalipiaje maji, umeme, gesi.... zote bidhaa...
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika...