Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mie kama mmoja wa wachangiaji niliyeona adha ya NSSF nimeona ni wajibu wangu kupaza sauti labda anaweza tokea Kiongozi anayejitambua na kuamua kulibeba hili na kuwasaidia Wananchi wa Sekta binafsi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Askofu Gwajima ameendelea kusisitiza juu ya umuhimu wa KATIBA mpya kuwa mamlaka ya Rais ni muhimu yadhibitiwe, Rais aingiapo madarakani aikute dira na mipango na vipaumbele vya...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakili Maarufu wa Mbeya mjini Boniface Mwabukusi amesema atamsindikiza mbunge wa Kisesa mh Mpina atakapokwenda kwenye Mahojiano Kamati ya Bunge ya Maadili Mwabukusi anatajwa pia kuombwa na wakazi...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Waziri wa Maji, lazima ujue nafasi ya ukurugenzi ni nafasi nyeti na Ina sifa zake zinazotolewa kiutumishi. Mkurugenzi wa Moshi MUWSA (mamlaka ya maji) Hana sifa Wala weledi wa kushika nafasi Ile...
0 Reactions
3 Replies
625 Views
Juzi tarehe 5 Machi, kamati ya ushauri ya wilaya ya Iramba DCC, ilipitisha maamuzi ya kuhamisha makao makuu ya wilaya ya Iramba,yaliyopo Kiomboi kwenda Kijiji cha Misigiri.Kikao hicho cha DCC...
9 Reactions
81 Replies
7K Views
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au. Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na...
13 Reactions
83 Replies
5K Views
Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi...
0 Reactions
4 Replies
498 Views
Neno " hakuna aliye juu ya sheria" lifutwe nchini kwetu kwani rais yupo juu ya sheria maana hashtakiwi akiwa madarakani wala akistaafu Inabidi kizazi hiki na kijacho kijue kabisa katika nchi hii...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX...
18 Reactions
56 Replies
7K Views
Life goes on wakuu, mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa aliundiwa zengwe lililopelekea kujihuzuru kwake. Alichokifanya Lowassa lilikuwa ni jambo jema lakini lililopelekea...
0 Reactions
13 Replies
666 Views
DC KINONDONI: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA ZOTE CHINI YA RAIS SAMIA Akielezea jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema wamepata...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo...
6 Reactions
103 Replies
8K Views
Salma Kikwete ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Oystrbay Primary, Mbunge huko Mtwara na pia Mmiliki. wa WAMA -NGO ya Kitajiri: Ikumbukwe huyu Salma Kikwete alikuwa Mwalimu shule ya Msingi{elimu yake...
12 Reactions
93 Replies
6K Views
Mimi leo nina wiki naomba loss Report bila mafanikio nikifika hatua ya kulipia nikiingiza control number inaandika number does not exist.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais John Pombe Magufuli amemteua Dr. Slaa kuwa Balozi muda huu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Novemba, 2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter...
50 Reactions
857 Replies
122K Views
Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo Ni...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimeona mtandaoni watu wengi wakiwamo wanasheria na wanaharakati wakitetea makahaba waliokamatwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo Ukahaba ni kinyume na maadili yetu watanzani na umekatazwa kwenye...
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakenya wamechachamaa sana na Mswaada wa bajeti yao, wanaona hauna maslahi kwao, Pamoja na kufanyiwa mabadiliko bado wanachachamaa tu. Wakenya wako chonjo na Bajeti yao wanapitia kifungu kwa...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo)...
1 Reactions
2 Replies
438 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…