Wakati harakati za wakenya kupinga Bajeti ya nchi hiyo zikiendelea, nimekuwa navutiwa na ujasiri wa wanawake wa Kenya wanavyopambana mstari wa mbele kupinga Bajeti hiyo.
Wanawake hao wanapaza...
Tupo kwenye mfumo wa maisha ambao ili upate kitu nilazima usifu, jambo linalopoteza dira na muelekeo ya maisha yetu
Tupo kwasasa kwenye dunia inayofahamika kwa uchawa, vijana mpaka wazee...
Taarifa za awali kutoka mkoani Kilimanjaro zinaeleza kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Tixon Nzunda pamoja na dereva wake wamefariki dunia kwa ajali iliyotokea eneo la Mjohoroni...
DIRISHA LIMEFUNGULIWA, NJOO TUKUSAIDIE KUFANYA APPLICATION ZA MKOPO BODI YA MIKOPO HESLB.
Contacts:- 0627799285. Katibu Seneti Mkoa
Habari!
Dirisha la Kufanya Maombi ya Mikopo Bodi ya Mikopo...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.
Uganda imesaini MoU na UAE kuanza kujenga Uwanja wa Tatu wa Kimataifa wa ndege pembeni kidogo ya Hifadhi ya Taifa ya Kidepo.
Taarifa iliyotolewa na...
Taarifa ikufikie Popote Ulipo kwamba , Mwamba wa siasa za Africa , Freeman Mbowe ameingia Ngorongoro kwa kishindo na kuhutubia Maelfu ya Wananchi
Akihutubia Umati mkubwa wa Wananchi, Mbowe...
TANZANIA KUJENGA KENYA
SERIKALI ya Tanzania Juni 18 2024 imezindua rasmi ujenzi wa majengo pacha jijini Nairobi, Kenya yatakayotumika na ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi...
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:
Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:
Rank Country...
1. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ashike madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 19.03.2021, amefanya safari 59 za kimataifa kama Rais wa Tanzania katika nchi mbalimbali kutoka katika...
Salam wana JF!
Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika...
Mnamo siku ya tarehe 21 na tarehe 22 mwezi huu, yaani ijumaa na jumamosi, jiji la Arusha lilitikiswa na mgomo mkubwa uliofanyika katika eneo la stendi ndogo, mgomo ambao ulisababisha maduka yote...
Wanajf,
Same Mashariki ni jimbo ambolo lipo nyuma sana kuliko majimbo yote ya mkoa wa Kilimanjaro , Ukiangalia sekta ya miundombinu kama barabara ni mbovu sana mvua ikinyesha barabara hazipitiki...
RC wa mjini Magharibi Bwana Idriss Kitwana “ anatarjiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya kutuhumiwa kutumia madaraka vibaya na kumuweka ndani Bwana Mustafa bila sababu na...
Nchi ya yetu iliwekewa misingi imara na kila Rais anayeingia madarakani anaita wazee kwanza na kuongea nao pia anaheshimu sana viongozi wa dini ndo mana kabla ya chochote lazima tuanze na sala...
Sijajua kwanini ,
Kwa manufaa ya nani!
Dk Msonde (naibu waziri upande wa elimu) anazunguuka nchi nzima kwa kile anachoita kuwasalimia walimu wenzake, lakini ndani yake kuna agenda ya kuwajaza...
Nikiwa ni miongoni wa Wafanyabiashara wa Kariakoo natangaza kuunga mkono mgomo uliotangazwa kuanza rasmi kesho 24/6 2024, hadi pale kero na migogoro yote itakapotatuliwa
Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit.
Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza...
Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Nchi, Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete wakati anajibu maswali yaliyoulizwa na Mbunge wa Ngara Ndg. George Ruhuro Bungeni Dodoma...
Hiyo Picha ya Chairman kwenye Chopa ya Mchongo inamaanisha Nini? Au yeye ndio Kiongozi wa milele?? Chopa ilitakiwa iwe na jina la Chama sio sura ya Mtu.
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya...