Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHATANDA ASHIRIKI MJADALA WA UANZISHWAJI WA DAWATI LA JINSIA KATIKA VYAMA VYA SIASA Mwenyekiti wa Jumuiya UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda, tarehe 3 Julai, 2024 ameshiriki Mjadala wa...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Kuna mtu aliweka hapa namba ya Mheshimiwa Kangi Lugola. Document ifuatayo ina namba za wabunge na mawaziri wote wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Hizi siasa za ujamaa/ukomunisti huwa ni mbaya sana pale unapo pata viongozi waroho. Siasa za kijamaa au kikomunisti ni nzuri sana kwa kuzisoma lakini ni mbaya sana pale zinapokuwa zinatekelezwa...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Jana zilisambaa taarifa kwamba wafanyabaishara wa soko la Kariakoo wataanza mgomo usio na kikomo kuanzia Jumatatu Juni 24. Kinachodaiwa kuwa mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo ni mazingaombwe...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akunjua Makucha. DAWASA Waanza kulimia meno. Aendelea na Utumbuaji kwa Mameneja Wazembe. Ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake Mkoani Dar na maeneo yote yanayo hudumiwa...
0 Reactions
2 Replies
474 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July. Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Dunia imepangwa kwamba kuwe na wanaonyonya na wanaonyonywa ili iweze kuwa balanced na iweze kuwa mahala pazuri pa kuishi. Imagine wote tuwe wantonyaji, nani atakayenywa sasa. Imagine wote tuwe...
2 Reactions
6 Replies
354 Views
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao. Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa...
3 Reactions
12 Replies
648 Views
IGUNGA: "MBUNGE NGASSA KUPIGA KAMBI JIMBONI KWA SIKU THELATHINI" πŸ“Œ Kufanya Ziara kwenye Vitongoji vyote vya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Igunga kusikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi πŸ“Œ Kukutana na...
0 Reactions
6 Replies
478 Views
MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA ________________________ "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mbowe amekerwa na kitendo cha baadhi ya makada huko Tanga kutaka kuzuia mkutano usifanyike katika uwanja uliopangwa. Ktk video clip hii...
2 Reactions
13 Replies
640 Views
Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
====== UPDATE: Waliochukua fomu hadi leo, Julai 17, wamefikia 176 ====== Hili linaweza kuwa ajabu lingine la dunia ama linaweza kuingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia World Guinness Book of...
39 Reactions
221 Replies
27K Views
Mi nawaza tu huu mchezo. Inaeleweka wazi kuwa wanaCCM wengi ni vilaza. Mfano Lissu akahamia CCM, unafikili Dkt. Chana atafurahi? Lissu anaenda kuchukua nafasi yake. Au unafikiri Feleshi...
0 Reactions
10 Replies
563 Views
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais...
7 Reactions
95 Replies
3K Views
Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Pemba una...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya...
47 Reactions
242 Replies
23K Views
Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini. chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Mh. Rais pole kwa majukumu, niseme wazi Mimi ninakupenda na ninakukubali sana. Wewe ni shujaa. Ila nimeshangazwa Sana na uteuzi wa mkurugenzi mpya wa kupambana na dawa za kulevya. Aliyekuwa...
36 Reactions
184 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…