Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu uwepo wa Mungu upo juu yenu Kwenye mada moja kwa moja wakuu Naomba kuweka hili jambo wazi, rafiki yako ni wewe mwenyewe, ongeza na wazazi wako basi. Unaweza kuwa na rafiki wa karibu...
2 Reactions
16 Replies
971 Views
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya...
3 Reactions
6 Replies
496 Views
Mnakumbuka habari Dr. Ulimboka? Naye jamaa waliamini kabisa amekufa. Kumbe Mungu alimlinda ili aje azungumze ukweli. Sababu unaweza kuta Baadhi ya Viongozi wanafiq sana. Machoni kama watu.. moyoni...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Pwani Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha na kufanya matengenezo ya miundombinu ya barabara katika mkoa wa Pwani ili kurahisisha shughuli za...
1 Reactions
3 Replies
401 Views
Iran wanapiga Kura ya kumchagua Rais Wao baada ya Kifo Cha Rahisi Source: BBC
1 Reactions
21 Replies
674 Views
Watangazaji nguli nchini mh Zembwela na mh Hando wameiomba jamii imuache Sativa apumzike kwanza Ili baadae aje atoe Maelezo yaliyonyooka Zembwela amesema kwa kawaida watekaji humfunga kitambaa...
6 Reactions
59 Replies
2K Views
Kijana aliyetekwa katolewa oysterbay Dar es Salaam kapelekwa Arusha, swali ka kujiuliza Arusha kuna nini mpaka mtu atekwe kiharamia apelekwe huko? Lakin jambo lingine la ajabu who is Sativa? Nina...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika majimbo yanayoleta changamoto kubwa kwa CCM nyakati za uchaguzi ni jimbo la Arusha mjini. Kibaya zaidi changamoto kubwa huwa ni ndani ya CCM kwenyewe wakati wa kupata mgombea ubunge kupitia...
4 Reactions
14 Replies
869 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Hili taifa kama tunaendelea kusingizia amani ndio tunu huku viongozi mafisadi wakineemeka kwa upole wetu tutaangamia Kigezo cha amani ndio imekuwa silaha ya wanyonyaji nchi hii,jambo moja...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni...
6 Reactions
62 Replies
13K Views
Akichangia mjadala wa bajeti kuu ya serikali mbunge wa gairo mheshimiwa shabiby amesema kumeibuka wimbi la wasifiaji wa kila kitu na kusema kweli zile sifa hazitoki moyoni bali wanasifia kwa...
8 Reactions
10 Replies
849 Views
Salam ndugu zangu wa Tanzania. Tanzania ni nchi nzuri sana pengine kuliko nchi nyingine yoyote katika ukanda wa maziwa makuu na Jangwa la Sahara. Ukiangalia bendera Ramani na Historia ya...
2 Reactions
3 Replies
441 Views
Tetesi zimezagaa Luhaga Mpina hayupo mwenyewe na kuna kundi la wabunge walishirikiana naye kuandaa ile ripoti yake na bado wapo naye. Inadaiwa walikutana Dodoma eneo la Espirancee na kufanya...
0 Reactions
5 Replies
577 Views
Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji...
3 Reactions
22 Replies
668 Views
1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza? JIBU: Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa .1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Tunataka chunguzi kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa kwa Edgar Mwakabela ACT Wazalendo tunalaani na kukemea vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa kijana Edgar Mwakabela, mtandaoni...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa ufanunuzi wa hoja zilizoibuliwa na Wabunge kuhusu Bajeti ya Serikali, amesema Shilingi ya Tanzania inatakiwa kutumika kwenye maeneo yote ya ndani ya...
13 Reactions
59 Replies
3K Views
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba...
45 Reactions
145 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…