Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,964
- 38,795
Ni mlolongo wa viongozi wa Umoja wa Vijana CCM, tangu HERI JAMES Hadi Mohamed Kawaida, kuanzia viongozi wa Vijana mikoa Hadi ngazi ya Kata kote ni majigambo na vitisho vya kupoteza maisha ya wanaopinga Chama Chao au kuwaharibia Biashara zào wanaokataa kusapoti Chama Chao kifedha.
Kutokana na kauli hizo hamuwezi kuepuka lawama Kwa sababu Hakuna udhibiti wa kauli. Na mara tu viongozi wenu wanapotoa kauli kweli baada ya Muda wakosoaji wa serikali wanapotezwa au kuumizwa.
PIA SOMA
- Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Iringa ahamasisha Mbowe, Zitto na wengine wanaoikwamisha Serikali 'washughulikiwe'