Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili. Hebu jiulize: Vyuo...
30 Reactions
51 Replies
2K Views
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa. RC jana katumbuliwa, ndiyo...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Maswali ya kujiuliza ni kuwa; 1. Makonda anatoa litahizi za mafuta kama mtu binafsi au serikali? Kama anatoa kama mtu binafsi vyanzo vya mapato haya ni nini? Mkuu wa Mkoa anatoa wapi pesa za...
1 Reactions
31 Replies
11K Views
Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo...
7 Reactions
73 Replies
4K Views
Wakati Watanzania Bara Wakiwa kwenye mjadala eti wa deni la Taifa kuongezeka na Serikali ikishutumiwa Kwa kile kinachoitwa kukopa sana,kwingineko Serikali za nchini Uganda na Zanzibar zenyewe...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
WanaJF, TRA kitengo cha Customs ambapo hushughulikia ushuru wa magari na bidhaa zinazoingizwa nchini kupitia bandarini wamekuwa ni mawakala wa wizi wa fedha za walipa kodi wa nchi hii. Unakuta...
10 Reactions
56 Replies
7K Views
Kigwangala aandika haya katika ukurasa wake wa X; Hii ni aina ya mambo ambayo hatuwezi kunyamaza. Ni aina ya mambo yenye viashiria vya ‘ubaguzi’ wa wazi. State crafting inataka kulinda tunu...
16 Reactions
69 Replies
4K Views
Nimefurahi kutembelea ofisi za CCM mkoa na Makumbusho ya Azimio la Arusha Chadema iko overated sana kwa mujibu ya simulizi za machalii wa Ara chuga Ahsanteni Sana CCM Arusha 😂😂 Mlale Unono
2 Reactions
14 Replies
868 Views
"Nitasema ukweli daima fitna kwangu mwiko". Ni kaulimbiu inayoeleza wajibu na sifa ya kweli ya mwanaCCM kwa mujibu wa katiba ya chama hicho. WanaCCM wengi wamekuwa wakitumia kauli hii kuonyesha...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Dkt. Wilbroad Slaa akihojiwa na kituo cha redio leo asubuhi amedai kuwa yeye bado anatambulika kama Balozi kwani hana barua rasmi ya kuondolewa hadhi hiyo. Dkt. Slaa ameongeza kuwa yeye ana barua...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA. 2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
MEI mwaka jana wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo ambalo limepewa hadhi ya soko la Kimataifa waligoma. Mgomo wao ulitokana na kutokuridhishwa na mwenendo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnaosema hawa watu zaidi ya milioni moja ni Vichaa mjitafakari tena tena. Hakika Kawe kwa Mwamposa Kuna kitu Cha ziada haiwezi kuwa ni Bure Dunia nzima ikusanyike pale sisi tuseme wanapigwa tu...
21 Reactions
96 Replies
5K Views
Yussuf Manji, ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakufikia popote ulipo. Binafsi kama Muislam mwenzako nnachukuwa fursa hii kukukumbusha kuwa hakuna kitu bora kama kukiri na kukubali makosa yako...
101 Reactions
417 Replies
38K Views
Hiyo ndio Taarifa ya sasa kutoka Nchi Jirani ya Kenya Je Gen Z watakubaliana na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar? Usiondoke JF 😄
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Siasa si uadui! Mdee kuwa bungeni si kosa kisheria ila njia alizotumia zaweza kuwa si sahihi, Kwakuwa Mamlaka ya Bunge imeonekana kuwatambua basi vema hata CHADEMA ikaachana nao ila Kwa Mashrt...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ipo, mlipaswa kuja hapa kwa kuwa ndio tunaolisimamia na siyo huko mlikokwenda," amesema Chalamila. Wafanyabiashara hao zaidi ya 800 jana Alhamisi Julai 11, 2024...
3 Reactions
22 Replies
11K Views
Na Anneth Kagenda na Simon Mhina Kamati ya Maimamu ya kuokoa mali za Waislamu imetishia kusoma dua ya Ahla-badri kuwashitakia kwa Mwenyezi Mungu, watu wote waliohusika kuwadhulumu Waislam...
2 Reactions
73 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…