Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Sijamsikia akisema lolote kuhusiana na kijana kutekwa, kupigwa risasi, na kutupwa Katavi National Park. Labda hajasikia au imekumbusha machungu ambayo hajapata nguvu ya kuzungumza hadi akae...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli baada ya Shujaa Magufuli kushughulikia Chadema katika Mikoa ya DSM, Mwanza, Kagera, Kilimanjaro, Manyara, Morogoro na Arusha nguvu ya Chadema ikabakia Mara, Mbeya na kwetu Iringa...
1 Reactions
12 Replies
537 Views
Wanaharakati na marafiki wa kijana Japhet Matarra, anayetumikia kifungo cha miaka mitano gerezani kwa makosa ya mtandao kupitia mtandao wa X, wamechangisha Sh8.5 milioni kwa ajili kumtoa gerezani...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari wana JF. Leo nataka niseme, hali yakuendekeza njaa kwenye kila kitu imesababisha kutengeneza mifumo mibovu inayokuja kuleta waropokaji na watu wa deals wengi kuliko watendaji wa maendeleo...
2 Reactions
16 Replies
627 Views
Darwin proposed that species can change over time, that new species come from pre-existing species, and that all species share a common ancestor. In this model, each species has its own unique set...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo. Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Iko wapi Rasimu ya katiba ya walioba? Mbona haiongelewi popote wakati iligharimu mabilioni ya pesa za watanzania pamoja na muda wa watanzania Nani awajibike juu ya Hilo? Na Nina wa...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
11 Reactions
85 Replies
6K Views
Madam Spika, nimekusikiliza kwa makini ukitaja vifungu vya sheria & Kanuni ambazo unasema Luhaga Mpina (Mb) amevunja! Nakushauri rudi ukavisome vizuri maana baadhi ya vifungu UMEUPOTOSHA Umma...
3 Reactions
2 Replies
391 Views
Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
https://www.youtube.com/watch?v=2mJ3YbfEti0
2 Reactions
6 Replies
458 Views
Naunga mkono hoja, Dkt. Benson Bagonza ana hoja nzito, asikilizwe.
8 Reactions
13 Replies
713 Views
Kwakuwa Mchg Msigwa alitaka nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA igombewe na wagombea wawili. Kwakuwa sasa Mchg Msigwa katimkia CCM naamini atapambana ili nafasi ya Mwenyekiti Taifa CCM wawepo...
8 Reactions
9 Replies
838 Views
JUMAMOSI , 17TH NOV , 2018 NA MWANDISHI WETU Meya wa Manispaa ya Iringa Mjini Alex Kimbe, amefunguka kuwa amekuwa akijikuta na kesi mbalimbali mahakamani kwa kile alichokidai kuwa ni hujuma...
15 Reactions
185 Replies
28K Views
Nitangulie kutanguliza pole zangu kwa Waziri wa Ardhi Slaa kwa kazi ngumu ya kutatua migogoro ya Ardhi Mfano kuna huu mgogoro wa ardhi unatisha Mtu anayedhaniwa kafa na Kufufuka Arumeru nduguye...
2 Reactions
9 Replies
767 Views
KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM. Na Elius Ndabila 0768239284 Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wapo manguli wa siasa walifanya kazi kubwa kukijenga chama lakini mwisho walihama vyama na wengine kung'olewa na mwisho walionekana ni wasaliti tu chama kilishinda vita hii. Kuhama kwa Msigwa...
2 Reactions
9 Replies
681 Views
Kwa wale wanaojua English. Kama hujui English tafuta mtu anayejua English akusafsirie tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au...
5 Reactions
6 Replies
550 Views
Habari wanajukwaa, Kufuatia uchaguzi kuisha na CHADEMA kuambulia Mbunge mmoja huko Nkasi Kaskazini, Aida Khenan aliyeibuka mshindi kwa kumbwaga mbunge machachari wa CCM Ally kesi aliyeliongoza...
7 Reactions
112 Replies
13K Views
Back
Top Bottom