Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mi nawaza tu huu mchezo. Inaeleweka wazi kuwa wanaCCM wengi ni vilaza. Mfano Lissu akahamia CCM, unafikili Dkt. Chana atafurahi? Lissu anaenda kuchukua nafasi yake. Au unafikiri Feleshi...
0 Reactions
10 Replies
562 Views
Niwe muwazi: Nachukizwa na kukasirishwa na Namna vijana hawa Boniface na Huyu Masanja masese wanavyomtukana Rais na kumuandikia maneno ya kashfa huko twitter(x) kama mtoto wao mdogo.. huyu ni Rais...
7 Reactions
95 Replies
3K Views
Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kusini Pemba moja wapo kati ya mikoa 31 ya Tanzania unaopatikana kusini mwa Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar wenye Makao makuu yake huko Chake Chake...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Misamiati: Baraza: Wilaya Wadi - Kata Mkoa wa Kaskazini Pemba ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania, unapatikana Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba, huko Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Pemba una...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Huyu Mama ni mmoja kati ya walioongea jana mbele ya PM. Alidaiwa kodi ya Tsh 30 Billion kwa containers zake 10 alizo import. Baada ya kuonyesha kuwa hana hizo fedha akatengenezewa mashtaka ya...
47 Reactions
242 Replies
23K Views
Chadema walikuja kwa madaha wakidai kuwa "Sasa Mbowe na Lissu watapanda Chopper moja na kwenda kufanya mikutano Kanda ya Kasikazini. chaajabu mpaka Sasa ni wiki inakata Lissu haonekani Singida...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Mh. Rais pole kwa majukumu, niseme wazi Mimi ninakupenda na ninakukubali sana. Wewe ni shujaa. Ila nimeshangazwa Sana na uteuzi wa mkurugenzi mpya wa kupambana na dawa za kulevya. Aliyekuwa...
36 Reactions
184 Replies
33K Views
Kwanini wanasiasa wa Upinzani wa Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM- KUNANI? Wakati nipo chuo kikuu, Prof Wangu alituambia siku moja darasani kwamba- "ukitaka uishinde njaa usimuhadithie...
0 Reactions
7 Replies
593 Views
Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa...
9 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Wapinzani pekee ambao ni maarufu kwa level ya kitaifa ni Freeman Mbowe, Tundu Lisu, Slaa na Zito Kabwe. Lakini waliobakia hawana umaarufu kwa level ya kitaifa labda kikanda...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania. Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015. Huu ni...
4 Reactions
135 Replies
3K Views
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona...
20 Reactions
34 Replies
2K Views
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Nipashe imemtafuta Mkuu wa TAKUKURU nchini, Salum Hamdani kutaka kujua uchunguzi wa jambo hilo umefikia wapi baada ya TAKUKURU kutangaza kufanya uchunguzi baada ya kiongozi huyo kutoa shutuma...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Thursday, May 14, 2015 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "upendo" ila...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
15 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu...
6 Reactions
104 Replies
6K Views
Hii Kauli imebeba Ujumbe mzito sana Watoto wa Simba akina Mpina na Bashe wanacheza cheza uwandani Balozi Mungu wa mbinguni akubariki 😀😀 Pia soma Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA)...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…