Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa...
23 Reactions
106 Replies
9K Views
Wana Jf, Ukijiuliza haya maswali utapata picha wa nini kinachotokea na nini kitazidi kutokea kwa upande wa siasa za Tanzania Ukiangalia makundi matatu kwenye jamii yenye umri wa kupiga kura...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo The Greatest Generation – born 1901-1927. ... The Silent Generation...
2 Reactions
0 Replies
526 Views
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA . Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri . Muwe na siku njema
4 Reactions
16 Replies
559 Views
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa."...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Maifa yote duniani yanatakiwa kujifunza kutoka nchini kenya. Zile fursa zote pamoja na ukabila, shida kubwa ni ukosefu wa ajira na ufisadi uliokubuhu. Unapoacha vijana wanamaliza shule hawana...
3 Reactions
19 Replies
716 Views
Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao. Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa. Akizungumza na...
24 Reactions
443 Replies
23K Views
Yaani nipo natafakari uzalendo wa huyo mtu aliyevujisha huo mkataba. Nadhani serikali inamuwinda hatari, lakini ata mvujishaji inaonekana alikuwa big brain. By the way huyu mvujishaji wa huu...
66 Reactions
213 Replies
22K Views
Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi. My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee πŸ‘‡πŸ‘‡...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Kipindi Nyerere anachukua nchi kulikuwa na sheria ya kuweka watu kizuizini,sikumbuki ilifutwalini. Yaani ni ile hali unachukuliwa ubatupwa selo hakuna kupelekwa mahakamani mpaka waone umekoma au...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Mfano mzuri ni kwa Paul Kagame wa Rwanda.. Hii ni awamu yake ya nne anashinda kwa kishindo cha kura za Wanyarwanda. katika chaguzi za awamu tatu mfulilizo zilizopita, Paul Kagame amekua akipata...
2 Reactions
13 Replies
933 Views
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
14 Reactions
160 Replies
9K Views
HABARI ZA MUDA HUU WATANZANIA WENZANGU NIMEKAA NA KUTAFAKARI SANA JUU YA MSATAKABARI WA HII NCHI YETU LAKINI SIONI MATUMAINI YEYOTE. TUNAVYO VYOMBO VYA SERIKALI KAMA VILIVYO AINISHWA KATIKA...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…