Rais Samia: "Lipeni Vijitozo Serikali Ifanye Maendeleo Nchini"

Rais Samia: "Lipeni Vijitozo Serikali Ifanye Maendeleo Nchini"

Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.

My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9erOqrtfw_/?igsh=amM1ZDUxcHR0bWpl

Hakuna asiyependa kulipa kodi mkuu, shida kubwa ni kwamba kodi zetu zinagharamia anasa za wanasiasa. Mwaka huu wametenga bilioni 980 kunua magari, mwaka jana walitenga bilioni 550. Haya ni matumizi mabaya ya kodi, kwa nini wasinunue magari ya bei rahisi ambayo ni manageable? Bajeti ya mishahara ni kubwa kuliko ile ya maendeleo, why? Mean tunakula sana kuliko kuzalisha
 
Sasa umeme kuongezeka 500 bila taarifa wala utaratibu wa kisheria wala majadiliano, ni Haki hiyo?
 

Attachments

  • 419242450_122127833468218078_979478830621416728_n.jpg
    419242450_122127833468218078_979478830621416728_n.jpg
    29.7 KB · Views: 23
Amesemaje kuhusu matumizi makubwa ya serikali yake? Huu ni msafara wake hii leo.
View attachment 3043793
Idadi ya chini kabisa msafara una gari 140.
Kwa idadi hiyo ya magari, chukua gari 110 halafu let’s assume kwamba gari hizo 110 kila moja ilibeba abilia watatu (3), that means 110*3 ambayo ni sawa na 330.
Idadi hiyo ya watu 330 katila mkutano ndiyo wale huwa tunasmbiwa mamia wajitokeza kumlaki rais. Chukua mamia hao, jumlisha na UVCCM, Jumuiya ya Wazazi, Umoja wa akina mama ambao kutoka wilaya kata na matawi mbalimbali na wote wamelipiwa kufika hapo.
 
Back
Top Bottom