Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,502
- 11,340
Yaani nipo natafakari uzalendo wa huyo mtu aliyevujisha huo mkataba.
Nadhani serikali inamuwinda hatari, lakini ata mvujishaji inaonekana alikuwa big brain.
By the way huyu mvujishaji wa huu mkataba, sisi kama watanganyika tumpe zawadi gani?
Binafsi nkimjua ntampa hofa ya ng'ombe dume mmoja amkunywe supu.
Karibu