Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu:
1. Ujenzi wa...
Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi?
Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo,
Ni vyema vijana...
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke...
Nape akiwa Waziri na akiwa amevaa kichwani kofia ya CCM amesema anataka kumfundisha Byabatto namna ya kushinda uchaguzi hatakama hapendi na wananchi wake. Amezitaja mbinu anazozifahamu na...
Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao!
Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji...
Nampongeza Rais wangu ni mtu mtulivu, anakupa muda usipojirekebisha anakuchapa, hongera mama. Nnape ana tabia ya kujisahau, alishaanza kibri kauli ya juzi ni ushahidi, ni mropokaji, anajidanganya...
1. Lack of Tangible Achievements:
- Despite being the Special Seats MP for 20 years, the Kilimanjaro chapter of UWT (the CCM women's wing) has not been able to point to any clear benefits or...
Viongozi waliokulia CCM kila siku wanatumbuliwa kwa utendaji mbovu. Viongozi wote waliokua chadema na vyama vingine wakanunuliwa na kujiunga na CcM hakuna anayetumbuliwa bali wanapata uhamisho wa...
Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri.
Hivyo...
Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka...
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu.
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure...
Wakuu,
Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.
Pia...
Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona,
Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile...
Pamoja na yote yanayoendelea bado ukweli unabaki Nape na January Ndio walifanikisha Ushindi wa CCM kwa namna Moja au nyingine mwaka ule 2015
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni 😄😄
Yesu alipofika...
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January...
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa...
Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi:
I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata...
Yawezekana tuna elimu ya kutosha sana na tumewazidi hata watangulizi na mabosi zetu, yamkini tunafahamu mambo mengi, ni wabunifu na wenye ushawishi mkubwa maeneo fulani kulingana na nafasi, vyeo...
CHAMA IMARA NI KILE CHENYE UWEZO WA KUJISAHIHISHA NA KUTOA NAFASI KWA VIONGOZI WENGI KUTUMIKIA TAIFA LAO
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Kwanza nampongeza sana Dr Samia kwa hamasa...