Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
CHAMA IMARA NI KILE CHENYE UWEZO WA KUJISAHIHISHA NA KUTOA NAFASI KWA VIONGOZI WENGI KUTUMIKIA TAIFA LAO
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Kwanza nampongeza sana Dr Samia kwa hamasa aliyonayo kutoa nafasi kwa viongozi wengi zaidi kuonyesha vipaji vyao katika kusogeza maendeleo ya Taifa letu. katika pita pita yangu mitandaoni nilikutana na kebehi za wasio na akili wakizodoa kuhusu mabadiliko anayofanya mama.
1. Chama cha Mapinduzi kina utajiri wa viongozi wenyevkariba mbalimbali, Dr Samia anatumia fursa hiyo kusahihisha makosa ya kibinadamu na kuongezea ufanisi
2. Siasa safi na utawala bora ni kipaumbele kikubwa cha Dr Samia, Dr Samia hapendi uonevu, hapendi ujivuni, anapenda haki sawa kwa wote pasipi kuzingatia huu utofauti wetu wa kiitikadi, kidini au kisiasa.
Viongozi wa chama cha Mapinduzi wanapata somo kwamba uchaguzi wa Serikali za mitaa utakuwa huru na haki na chama kitawapitisha watu wenye mvuto kugombea nafasi ili wakashindane kwa hoja, kwa sababu suala la democrasia litazingatiwa, vyama vyote vitakuwa huru kufanya kampeni na uchaguzi utakuwa huru na haki, waliozoea kubebwa kwa mbeleko si kwa utawala wa Dkt. Samia, Dkt. Samia ni mtu wa haki na ana hofu na Mungu, hapendi dhuluma wala uonevu.
Tutamuunga mkono Dkt. Samia kwa kufanya siasa safi za upendo na si chuki
Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM na Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam