Nilishauri wakati alipotenguliwa Makonda kuwa nafasi hiyo inamfaa sana Nape.
Bado nashauri tena baada ya kuondolewa kwenye Uwaziri, Nape anafiti sana kwenye nafasi ya Katibu Muenezi.
1. Ana...
CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI
Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi...
Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live.
Pia soma
Nape: Si uamuzi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mh. January Makamba katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuhusu uamuzi wake wa 'kupotea' kwenye mitandao ya kijamii mara...
Kuna mnyukano wa hoja huko X kati ya wafuasi wa Mwigulu na Wafuasi wa John Pambalu
Pambalu anadai alichukua cash akaenda airport akiwa anasafiri akategemea anaweza kupata dola lakini alipofika...
Barack Obama aliwahi kusema hivi:
"The best way to not feel hopeless is to get up and do something. Don't wait for good things to happen to you. If you go out and make some good things happen...
Hili vuguvugu la harakati za Gen Z lililoanzia Kenya kisha kuhamia Uganda hivi karibuni. Ni kiashiria cha mahitaji ya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii yenye kupiganiwa na vijana.
Kwa vile...
Salaam, Shalom!!!
Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!!
Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa...
Akizindua maghala ya kuhifadhia chakula mjini Mpanda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Kuhusu Hassan amesema Nchi Sasa inahama kutoka kwenye Kilimo Cha Mazoea Cha kulima.kwa.ajili ya...
Ili umpe kipigo cha mbwa koko mtoto wa kambo pasipo lawama, basi anza kwa kumfinya mwanao wa kumzaa. Anapoanza kulia mtoto pendwa ndipo unanza kushusha kipondo cha kuvunja mikono kwa mtoto wa...
Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi...
Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%...
Kawaida ninavyofahamu mimi mamlaka ya uteuzi ina weza teua na kutengua bila kuhojiwa, nilitegemea vijana hawa kwa maana ya January Makamba, Nape Nnauye na Byabato wamshukuru Rais Samia kwa dhamana...
Huku kitaa nakutana na mambo mengi sana watu wanayoshangilie kutumbuliwa kwa Nape.
Raia wanataja mambo machache nami nayaweka hapa, ukikumbuka yaweke pia ili Waziri alie ingia ashughulike nayo...
Wakuu,
CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga!
Huu ni...
Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Ameen Kashimir, ameilalamikia serikali kwa kutotambua mchango wake licha ya kuinusuru serikali wakati wa maasi ya jeshi hilo ya mwaka 1964...
Katika kuelezea ubadhirifu ambao umebainishwa katika ripoti za CAG, Mbunge Luhaga Mpina ataka hatua zichukuliwe dhidi ya viongozi ambao wanahusika na makosa yao. Hii ni pamoja na kuwawchukulia...
Naweka tu kumbukumbu sawa kwamba Paul Makonda katika Wasifu wake wa kikazi hajawahi kutumbuliwa
Ni hilo tu Ili kupunguza upotofu wa Taarifa
Ahsanteni 🐼
MSHAURI wa RAIS Siasa, Mheshimiwa Abdalah Bulembo jitokeze hadharani kumtetea Januari Makamba baada ya kutumbuliwa na Rais Samia kama ulivyofanya kipindi kile alipolipuliwa na Luhaga MPINA kuhusu...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...