CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

Tryagain

Member
Nov 23, 2021
73
458
CHADEMA NI UNDER DOG WA CCM MIAKA NENDA RUDI….!

Hivi karibu tumeona na kushuhudia matendo ya ajabu sana ndani ya Chadema, chama ambacho kilijitanabaisha kama mbadala wa CCM, kwamba kimefikia hadhi ya kuwa chama dola, kwamba ni chama ambacho kinaweza kusimama na wananchi na kuendesha siasa zake tofauti na CCM katika kuwaletea maendeleo tarajiwa Watanzania.

Hivi karibuni baada ya kuanza kwa michakato ya Uchaguzi za ndani kumekuwa na kashfa nyingi sana zinatoka ndani yake na kusikika kuwahusu viongozi wake waandamizi kwa ngazi mbalimbali za kitaifa(Kamati kuu) na kikanda kuhusika na rushwa, ubadhilifu wa kila aina na mbaya zaidi kashfa hizo zimeenda mbali mpaka kuwahusu viongozi wakuu wa serikali/nchi na CCM, kwamba ndio washirika wakuu wa kupanga mipango ya kuihujumu Chadema na kutoa rushwa kubwakubwa.

Wajumbe kadhaa wa kamati kuu wapatao takribani sita (6) wamehusishwa na kashfa kubwa kubwa za kupewa hongo viongozi ambao wao ndio waliokuwa mstari wa mbele zaidi kuwanyooshea vidole wale wabunge 19 na kuwapa jina la Covid-19, yaani Halima Mdee na wenzake, kwamba wamepewa ubunge na Magufuli na Ndugai kinyume cha taratibu na ikaeleweka au kutafsiriwa kuwa walihongwa ubunge ule ili serikali iweze kupata misaada ya kifedha ya kimataifa, kwa mantiki ya uwepo wa demokrasia nchini.

Waswahili wanamsemo mmoja wanasema "zimwi likujualo halikuli mpaka ukaisha", huwa linakula taratibu hadi utakapogundua utakuwa umeshamalizika, na ndicho tunachokiona kwa sasa ndani ya Chadema, lile zimwi la serikali ya Magufuli la kununua viongozi wa Chadema na kuwafanya waunge juhudi kwa kukimbia upande wao ni kama linaendelea, tena kwa kasi ya ajabu ila kwa mtindo wa tofauti kidogo.

Zama hizi za Mama zimwi linaikula Chadema in a very smart way.( kimtindo)

Kama viongozi wake wakuu wanatuhumiwa kula rushwa mbalimbali na umma umejua na umesikia na maneno hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mh Tundu Lisu, bila kuwataja viongozi hao wa Kanda, ila alisema fedha zipo nyingi ajabu na zipo kanda mbalimbali na hizo ni fedha za CCM maana yake ni kuwa Chadema ya sasa ni tawi rasmi la CCM linalotumika kuuhadaa umma wa Watanzania katika kuonesha kama nchi hii ina demokrasia lakini kimsingi demokrasia haipo, na wala hakuna dalili za kuwepo.

Swali la kujiuliza, inakuwaje Makamu Mwenyekiti Taifa asimame jukwaani na kutuhumu viongozi wenzake hadharani halafu waende kwenye vikao bila kutoka na ufafanuzi kwa umma na wanachama wao kwamba ni kweli rushwa ipo na na njia zake ni hizi, hatimae kuonesha uwajibikaji na uwajibishwaji kwa wahusika.

Ukifatilia mijadala mbalimbali katika mitandao ya kijamii na hasa ya kisiasa hususan ya Chadema, viongozi wanaotajwa moja kwa moja kuhusika na rushwa ni wapo wazi kabisa akiwemo Lema, Msigwa, Heche, na Wenje kwa pamoja hawa wote wamehusishwa kwanza na fedha za DP World, lakini pia baadhi yao wamehusishwa na kutoa taarifa nyeti nyingi za Kamati Kuu pamoja na mipango ya Chama chao kuelekea Uchaguzi 2024/2025 na mambo mbalimbali.

Muuza taarifa(mla rushwa) anatambua kwamba amebainika na hana wasiwasi, na aliyebaini naye hachukui hatua na hana wasiwasi!

Ndio maana tunasema uwajibikaji na rushwa kwasasa ndani ya Chadema vimekuwa ni tatizo kubwa na la limekomaa.

Kwanini uwajibikaji?

Mfano ni namna ambavyo Chadema imekuwa haiwezi kuchukua hatua kwa viongozi wao wanaopata kashfa za ubadhilifu, wizi pamoja rushwa kushindwa kuwawajibisha ama kwa kuwaondoa ofisini au kuchukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza uanachama pale linapotokea tatizo na mfano mkubwa ni kwa katibu wao wa kanda ya nyasa Gwamaka Mbugi ambaye amekirinmwenyewe kuhujumu na kuiba vifaa vya gari (vipuri) kwa kurekodiwa na Katibu mwenzake Masonga na taarifa kufika rasmi kwa ofisi ya Katibu Mkuu, John Mnyika!

Pamoja na kufikishwa kamati kuu jambo hilo lenye ushahidi wa wazi lakini mpaka sasa katibu huyo yupo ofisini akiendelea kufanya kazi za kumuwakilisha katibu mkuu katika kanda ya nyasa na anaendelea kuchambua majukwaani taarifa za CAG ingali yeye ni mwizi aliyekili kwa sauti yake mwenyewe na Chadema imeziba masikio kwa upande huo.

Hilo halitoshi katibu huyo huyo amekwenda kusimamia uchaguzi wa Mikoa mbalimbali katika kanda yake na kuharibu kabisa chaguzi, kuendesha chaguzi bila kufata kanuni na taratibu na kupelekea chaguzi kama ya Mkoa wa Njombe kufutwa wote na Kamati Kuu kupitia rufaa ya mmoja wa wagombea, hili pekee pia lilipaswa kumuondoa ofisini kama tu maadili ya kiongozi yangekuwa yanasimamiwa kikamilifu. Leo hii katibu huyo wa kanda ama angewajibika yeye au ofisi ya Katibu Mkuu ingeweza kumuwajibisha kwa uzembe.

Tunajiuliza sana swali hili,
je! ni kosa gani kubwa ndani ya Chadema zaidi ya kosa la rushwa na alilofanya Gwamaka?

Chadema na uwajibikaji wa kiuongozi limeshakuwa ni kubwana mpaka tunashangaa hivi hii Chadema kweli ndio inataka kuwa chama mbadala wa CCM katika taifa hili!!?

Hv karibu kulisambazwa picha za utupu ziki muonesha mmoja wa viongozi wandamizi wa ngazi ya juu kabisa katika Bavicha ndugu Twaha Mwaipaja akifanya tendo la aibu la kimwili (musturbation) hii peke yake kwa Chama makini ilipaswa ajiwajibishe kabla hajawajibishwa ama na Uongozi wake wa baraza ama Viongozi wake wakuu wa Chama, na sasa hivi tunavyoongea picha hizo vijana wamekuwa wakijisambazia inbox na katika magroup mbalimbali na chama kipo kimya ni kama vile kimehalalisha hayo matendo ndani ya jamii kutokea kwenye taasisi ya Chadema,
aibu kubwa sana!

Rushwa ndani ya Chadema, hivi karibuni katika chaguzi za ndani kupitia mfumo wa Chadema digital ulioanzishwa na Baraza Kuu kumekuwa na utaratibu ambao haukuzoeleka hapo awali yaani ili ushinde ngazi za chama au kupata uhalali wa kupitishwa hapo baadae kuwa mgombea wa ngazi yeyote kuanzia Udiwani, Ubunge au hata Uraisi ndani ya chama ni lazima uwekeze mtaji wa fedha katika kulipia kadi watu wanaotaka kuwa wanachama, hii ni baada ya operesheni ya kujiandikisha kwa njia ya kidigital kuwa imeshindikana kutelezeka.

Faida ya kisiasa na kiuongozi sasa ikawa ni kwa yule mwenye mtaji anayeandikisha watu pamoja na kulipia kadi zao na hao watu anakuja kuwatumia katika kumpigia kura na kupanga safu yake ya kiuongozi, kifupi ni kwamba sasa hivi Chadema kama hauna fedha unapaswa kusahau kuhusu kuwa Kiongozi, rushwa imekuwa kubwa yumkini kuliko chamm chochote katika ukanda huu wa Africa Mashariki.

Takukuru mpo wapi kufuatia kauli ya uwepo wa rushwa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh Tundu Lissu kule Iringa na Dar es salaam?

Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania ambaye ndiye mlezi wa vyama vyote vya siasa nchini, upo wapi kuchukua hatua? Sasa anzia hapa.

Uongozi wa chama ngazi ya Taifa wapo na wanaona hayo ila ni kama hawana meno au wamekosa uhalali wa kukemea (toothless bull dogs)kwakuwa wote wameshajipaka matope na hayupo sasa wakumfunga paka kengele, maana kama Baba ni mwizi mtoto ataachaje naye kuiba!

Anayeshinda Uchaguzi wa ndani wa Chadema ni lazima awe na upande wa miongoni mwa wakubwa (giants) wa rushwa ndani ya Chadema kwa ajili ya kulinda maslahi yao ya kiuongozi baadae.

KIATU KIVALIWE NA KINAYEMTOSHA!!TUIACHE CCM IENDELEE KUTAWALA KWANI NDIO BABA NA NDIO MAMA WA DEMOKRASIA NCHINI NA AFRICA.
 
Sasa utakapo ng'ooka na lichama lenu chakavu ndio mtaukubali ukweli😅
 
Uzuri ni kwamba mambo hayo yote yanaiimarisha CDM zaidi.
 
Ila twaha amejua kujianika..
Ila sijasikia Tamko la chama wala Baraza la vichaa(BAVICHA) kusema kitu hi ni ishara chadema hii ndio michezo yao. Ila kwenye kutetea ushoga utawaona wanakuja juu kinyama
 
KWa theard hii moja kwa moja anguko la chama kikuu cha upinzani Tanzani limewadia.. Zitto jiandae kuwa kiongozi wa upinzani Bungeni
 
Ila twaha amejua kujianika..
Ila sijasikia Tamko la chama wala Baraza la vichaa(BAVICHA) kusema kitu hi ni ishara chadema hii ndio michezo yao. Ila kwenye kutetea ushoga utawaona wanakuja juu kinyama
Inaonekana unapenda sana ushoga ma usagaji
 
1. Umeandika mavi

2. soma hiyooooooooooooooo
 
mbona CCM imehalalisha rushwa? Mwenyekiti wako msiklize
 
Attachments

  • urefu wa kamba mbuzi kula kuvimbiwa.mp4
    3.3 MB
Back
Top Bottom