Waziri Nape rudisha na Bunge live umalize kurekebisha makosa yako

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Huyu jamaa anakuona we Nniiuye ulichomfanyia unakijua

JamiiForums-1279766744.jpg

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Jambo la msingi tutumie uhuru wetu vizuri.

Leo hii tumeona vyombo vya habari na magazeti yaliyo kuwa yamefungiwa yote yamefunguliwa.

Sasa taabu ni matumizi sahihi ya uhuru.
 
Yaani sijui hii nchi unaweza kuieleza vipi, watu zaidi ya milioni 60 mtu mmoja ambaye background yake imejaa utata anasimama na kusema nimefungia gazeti. Na baada ya muda anaibuka anasema nimewafungulia endeleeni na kazi bila kujua kuwa ulishawaharibia kila kitu

Na hawa wamiliki hawaambiwi walikosa kitu gani mpaka wakafungiwa na imekuwaje wakafunguliwa. Hapo waziri mmoja aliwahi kusema kuwa serikali haiwezi kudaiwa fidia.

Au ni katika 'kunogesha' ziara ya Ulaya ili mabeberu waone tuko juu kwenye uhuru wa habari?
 
Ndiyo hicho mkuu
 
Ulibadilisha Sheria ya Habari na ukafungia Magazeti pamoja na kusitisha matangazo ya Bunge live sasa umeanza kujirekebisha basi malizia na kuturejeshea Bunge letu live.

Pia soma
Kwa wabunge gani walioko bungeni hadi watu wahitaji bunge live!!ishu sio kuwa live bali ni michango ya wabunge yenye mashiko!!kuna mbunge gani sasa hivi ambaye anaweza kutoa hoja na mtu ukafurahi?
 
Back
Top Bottom