Nawashangaa wanaonihusisha mimi binafsi na Sheria ya Makosa ya Mtandao - January Makamba

Kwanza TV

Member
May 2, 2017
33
69
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mh. January Makamba katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuhusu uamuzi wake wa 'kupotea' kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu, 2015.

Pia asema katika vitu vinavyomshangaza ni kuendelea kuhusishwa yeye binafsi na utungwaji Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 (CyberCrime Act).

Makamba hawezi kujitoa katika mambo yote hasa mateso yanayoendelea kwa Watanzania kwa sasa.

Makamba msimamo wako ulikuwa upi wakati CCM mnachakachua katiba ya wananchi na kuliingiza taifa katika hasara kubwa makusudi? Muda na fedha za wananchi mlizotumia kuharibu mchakato wa katiba mtaulipa kwa kuwa Mungu anawaona.

Makamba msimamo wako uliuweka bayana wapi kwamba hukubaliani na sheria kandamizi ya makosa ya mtandao kama siyo uwingi wenu mlioutumia kupitisha mswaada na kutumia wingi wenu usio na thamani kwa wananchi bungeni kudhihaki na kuwagandamiza wachache wenye macho ya kuona mbali na uchungu kwa taifa.

Makamba unaanzia wapi kupata ujasiri wa kuja hapa kuwadanganya Watanzania kwamb eti wewe huhusiki na kuwadhikisha wakati yote uliyoyafanya wakati wa uchaguzi mkuu Mungu alikuona na anayajua?

Makamba nia yako na genge lako juu ya nchi hii hakuna asiyeifahamu. Mungu aonaye srini anakujua na malengo ako ya siri Mungu anayajua.

Umeanza kutoa kichwa ili ujenge himaya yako kwa ajili ya uraisi unaoulilia usiku na mchana? Hilo sahau!

MUNGU NA AKUPINGE KATIKA KILA JAMBO LAKO OVU ULILONALO. WEWE NA WENZAKO NI WATESI WA WATANZANIA, HAMTAWEZA KUWAHADAA. LABDA MUENDELEE KUWAHADAA WANAOWAWEKA HIVYO KWA MATUMIZI YA KODI ZETU LAKINI KURA ZA WATANZANAI - SAHAU.
 
Huyu jamaa sijui kapata wapi bushara za kuzungumza kwa utashi na utulivu, nakumbuka baba yake mzazi alikuwa anapayuka si mchezo, hawa kina polepole, Nnape ni watoto sana kwa mzee makamba.

Anachokidfanya hapa ni unafiki tu. Baada ya kuwasaliti Watanzania, sasa anakuja na joho lingine ili ajionyeshe bora kuliko wenzake kusudi awazidi kete. Hakuna lolote na huyu ni mwovu kuliko waliomtangulia.
 
Makamba hawezi kujitoa katika mambo yote hasa mateso yanayoendelea kwa Watanzania kwa sasa.

Makamba msimamo wako ulikuwa upi wakati CCM mnachakachua katiba ya wananchi na kuliingiza taifa katika hasara kubwa makusudi? Muda na fedha za wananchi mlizotumia kuharibu mchakato wa katiba mtaulipa kwa kuwa Mungu anawaona.

Makamba msimamo wako uliuweka bayana wapi kwamba hukubaliani na sheria kandamizi ya makosa ya mtandao kama siyo uwingi wenu mlioutumia kupitisha mswaada na kutumia wingi wenu usio na thamani kwa wananchi bungeni kudhihaki na kuwagandamiza wachache wenye macho ya kuona mbali na uchungu kwa taifa.

Makamba unaanzia wapi kupata ujasiri wa kuja hapa kuwadanganya Watanzania kwamb eti wewe huhusiki na kuwadhikisha wakati yote uliyoyafanya wakati wa uchaguzi mkuu Mungu alikuona na anayajua?

Makamba nia yako na genge lako juu ya nchi hii hakuna asiyeifahamu. Mungu aonaye srini anakujua na malengo ako ya siri Mungu anayajua.

Umeanza kutoa kichwa ili ujenge himaya yako kwa ajili ya uraisi unaoulilia usiku na mchana? Hilo sahau!

MUNGU NA AKUPINGE KATIKA KILA JAMBO LAKO OVU ULILONALO. WEWE NA WENZAKO NI WATESI WA WATANZANIA, HAMTAWEZA KUWAHADAA. LABDA MUENDELEE KUWAHADAA WANAOWAWEKA HIVYO KWA MATUMIZI YA KODI ZETU LAKINI KURA ZA WATANZANAI - SAHAU.
Mkuu umeongea kwa uchungu umenigusa mimi pia roho imenihama na kurudi.
 
J. Makamba alihusika 100% kwenye mchakato wa kuleta hii sheria ya kuua uhuru wa habari!!! si hilo tuu ashiriki kushinikiza makampuni ya cm kupunguza bandle za internet.

He is evil.

Makamba kapelekewa proposal nzuri sana juu ya utunzaji wa mazingira ambayo ingewanufaisha Watanzania wote na kuondoa kwa kiasi kikubwa sana uharamia wa wanyama pori. Ni proposal ya kimataifa kabisa lakini amebunda tuu, hajajibu wala kuifanyia kazi.

Leo anapiga kelele hapa eti matokeo, matokeo husababishwa na siyo kusubiriwa. Huyu ni dhahiri anawahujumu wenzake ili wasionekane kufanay vizuri, na ndiyo sababu hachangamkii fursa na sasa anaanza kujiengua.

Hana lolote zaidi ya roho mbaya na ukatili wa kutisha. HAFAI!
 
Hii ni sawa na kukuta mwizi anapigwa na wewe ukaingia na kuanza kumpiga..... Baadae unasema, me nilikuta tayari anapigwa.....

Hata kama yeye hakuanzisha huo mchakato, yupo kwenye kundi la washiriki, tena la watetezi. Hili ni lake, asiwapelekee wengine.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mh. January Makamba katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuhusu uamuzi wake wa 'kupotea' kwenye mitandao ya kijamii mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu, 2015.

Pia asema katika vitu vinavyomshangaza ni kuendelea kuhusishwa yeye binafsi na utungwaji Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 (CyberCrime Act).

Huyo eti nae alitaka kuwa raisi dah kweli bongo kuna mambo
 
Hao ndio CCM bwana... Ila wote Ni hulka Yao moja, imagine sheria za madini zilivyopitishwa halafu Leo ndio wanajidai fahamu zimewarudia, yaani wanashangaa utafikiri wamekua imported from Jupiter Mwezi Mei 2017.

Huyu Makamba ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa na mwenzie Nape kumchakachua Lowasa na kupiga bao la mkono.
 
Back
Top Bottom