Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waswahili wana msema usemao β€˜Mbananga chake hana kondo’ (If you spoil what is your own you have no quarrel) Kulingana na maoni ya Wananchi katika rasimu ya Tume ya Warioba , wananchi wengi...
4 Reactions
55 Replies
526 Views
Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj...
4 Reactions
30 Replies
237 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia...
2 Reactions
28 Replies
267 Views
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE. Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu! Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa...
25 Reactions
118 Replies
2K Views
Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa...
4 Reactions
25 Replies
255 Views
Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCMπŸ‘‡
2 Reactions
19 Replies
166 Views
Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake...
14 Reactions
75 Replies
977 Views
Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na...
4 Reactions
55 Replies
304 Views
CCM jipangeni kuelekea 2027 uchaguzi wa ndani! ( Hali sio shwari)
3 Reactions
7 Replies
100 Views
π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π— π—žπ—¨π—¨ π—”π—¦π—›π—œπ—₯π—œπ—žπ—œ π—œπ—•π—”π——π—” π—žπ—”π—‘π—œπ—¦π—” π—žπ—¨π—¨ π—”π—‘π—šπ—Ÿπ—œπ—žπ—”π—‘π—” - π—¨π—œπ—‘π—šπ—˜π—₯π—˜π—­π—” Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Ushoga ni kitendo cha mwanaume kuruhusu kufirwa kwa ridhaa yake mwenyewe (ashakumu si matusi, hilo neno linatakiwa litajwe kama lilivyo) na kufanya vitendo vingine vya kike halafu shoga ni...
2 Reactions
47 Replies
494 Views
Kuna mkoa X wachina ni wengi kuzidi mpaka wazawa huo mkoa una dhahabu nyingi wachina wametapakaa kila kona ya huo mkoa mpaka wamejenga hotel zao za chakula sio jambo baya Je hiyo mikataba...
6 Reactions
29 Replies
299 Views
  • Featured
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe...
4 Reactions
68 Replies
2K Views
Hili jambo linatafakarisha sana, kwa kawaida CCM wana kila kitu kwa namna ambayo kitu chochote toka kwa yeyote ila kutimiza wanachokitaka. Inavyoonekana sio shida wala haja ya ccm kama chama...
6 Reactions
48 Replies
524 Views
Decipher the code
0 Reactions
4 Replies
179 Views
Of the people: The government's power comes directly from the citizens; it does not belong to a king, a dictator, or a ruling class. By the people: The citizens participate directly in governing...
1 Reactions
4 Replies
25 Views
Kwa nini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa...
0 Reactions
4 Replies
48 Views
Salaam Wakuu, Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi. Mawazo yangu nakawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu kufa. Nimeshangaa kuona Polisi...
8 Reactions
23 Replies
390 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…