Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza tu kwa sauti kubwa, je Kamishina Awadhi Haji akigoma wito wa mahakama kujibu mashtaka ambayo Chadema inakusudia kumshtaki nani atamkamata? Tukumbuke huyu ana support ya Rais Samia kuna...
11 Reactions
79 Replies
4K Views
WATANZANIA WENGI HAWAJIHUSISHI NA SIASA KWA SABABU WANAJUA HAWAPO HURU. NI KAMA WAPO CHINI YA UKOLONI. Robert Heriel Mtibeli Nilitaka kuwalaumu. Nilitaka kuwaona NI wajinga. Kûna Muda unaweza...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Hivi Karibuni tumeshuhudia Mawaziri Ndalichako, Nape, Kairuki, Oddo Ummi na Makamba Jr wakitumbuliwa. Je, wanalipwa pesa yoyote kwa Miaka waliyotumikia Uwaziri? Ikiwa Ndio, pesa hizo zinatoka...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu Tundu, Nakuandikia barua hii ya wazi, kwa afya na mustakabali wa taifa letu na hali ya kisiasa ilivyo sasa nakusihi uachane na wazo lako la kugombea urais tena mwaka ujao! Na badala yake...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Ummy Mwalimu alikuwa anampamba kweli Samia, leo kamtoa! kwangu mimi Ummy alimudu by 90% afya. Kizuri hakikosi kasoro!
15 Reactions
115 Replies
6K Views
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Kilichopelekea Lowassa kukatwa na CCM mwaka 2015 ilikuwa ni kuwahi kufanya kampeni kwa kutia Nia mapema Je, Tundu Lissu hajavunja kanuni kama Lowassa? Nawatakia Sabato Njema 😄
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Tumeshuhudia mara kadhaa siasa kupenyezwa taratibu kwenye michezo na wakati mwingine hata kushawishi baadhi ya baadhi maamuzi kufanyika kwa utashi wa kisiasa! Mara watu kwenda na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika mataifa ya magharibi ambako ndiko chimbuko la demekrosia duniani mataifa yao yenye demokrasia ya vyama vingi vya siasa ni jambo la kawaida kwa wanasiasa wanaotaka kugombea nafasi yeyote ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri...
20 Reactions
93 Replies
5K Views
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU). Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu ameishukuru sana CCM kwa Mchango wa kutengeneza Gari lake Lisu amesema yeye anapokea Mchango kutoka kwa Mtu yoyote kama ambavyo hata matibabu...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
2 Reactions
10 Replies
814 Views
Tume ya Kamari ni chombo cha udhibiti kinachowajibika kwa kusimamia shughuli za kamari na kuhakikisha kuwa zinafanywa kwa haki na salama. Kuhusu wachezaji, majukumu yake muhimu ni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mheshimiwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu naomba unisikilize Kwa makini! Hoja na kitendo cha Katibu Mwenezi na Msigwa kuendeshea harambee kukuchangia ni cha kinafiki. Mchango...
4 Reactions
6 Replies
696 Views
Hivi Marais na mawaziri wa Marekani huwa hawajihusishi na vitendo vya rushwa wakiwa madarakani au wanafanya kijanja sana? Huwa nasikia viongozi hawa wakitajwa kwenye skendo mbalimbali lakini ni...
2 Reactions
8 Replies
546 Views
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii wapinzani na wanaharakati wakishambulia na kulaumu tamko la ubalozi wa Marekani kuhusu kukamatwa na kuwachiwa kwa viongozi wa CHADEMA kwamba ni tamko dhaifu...
4 Reactions
8 Replies
870 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…