Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, Shalom!! Wote tunajua masaibu yaliyomkuta TUNDU Lissu, Hadi tunavyoongea risasi Moja haijatolewa mwilini mwake. Hakuna askari Nchi hii asiyemjua TUNDU Lissu na Hali yake kiafya na...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume anesema anatamani Watanzania Wote wangekuwa na ufahamu kama Watoto Wadogo wa Gen Z Karume amefurahishwa na Kauli ya Gen Z Kwa Ruto kwamba " Sisi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Na kwa vyovyote vile watakuwa wakifanya kazi kwa tahadhari kubwa na inapobidi "kumzunguka" watamfanya hivyo. Tatizo kubwa ni ukosefu wa subira pale mteuzi anapopokea umbea wa mteule. Anakurupuka...
1 Reactions
6 Replies
858 Views
JAMHURI YAMUUNGANO WATANZANIA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YAH: UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WAANGA TANZANIA (TCAA)...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Kwenye Baraza la Mawaziri la sasa ni yupi kati yao unaona kabisa hana tija? Kwanini unaona kwamba amefeli kutimiza wajibu aliopewa? Je, amefeli kwa sababu amekabidhiwa sekta asiyo na uzoefu nayo...
0 Reactions
4 Replies
350 Views
Kwenye utawala wa Magufuli wakati wote Jenista Alitoa kauli za kuvunja na kukatisha moyo na pengine kebehi kwa watumishi. Kuna washauri waliokusudia kabisa kumfanya mama Akose mvuto kwa kundi la...
9 Reactions
67 Replies
6K Views
“Naenda Mahakamani kufungua kesi kwanza ya kuvunjiwa mkutano wetu bila sababu, pili Viongozi na Wanachama wetu kupigwa bila sababu, tatu kukamatwa bila sababu, nne kufungwa bila sababu, tano...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha...
4 Reactions
101 Replies
4K Views
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Tanzania , Profesa Kabudi , anapaswa kukamatwa na kuhojiwa kwa kudanganya Umma na Kusababisha Taharuki , huyu anaweza kuropoka mengi machafu waliyokuwa wanafanya kwa...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna Viporo fulan cha KM na wanafunzi kadhaa wa mtume wanatemwa akishatoka kwa tolu Na Zakayo Mrefu anapitiwa muda si mrefu Madagaskar ndo uwa anatolea mkeka Britanicca
52 Reactions
188 Replies
16K Views
Unaweza kudhani unamsaidia mtu kumbe ndio unampoteza zaidi kwa ufanyayo. Polisi Tanzania chini ya kamanda wa Opereshini Mzanzibar Haji wamefanya matendo ya aibu kwa kuwapiga viongozi kiasi hata...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa...
3 Reactions
7 Replies
674 Views
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba . Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha Na tushauri...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari ndugu zetu! Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu! Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu...
45 Reactions
93 Replies
7K Views
"Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za...
7 Reactions
75 Replies
4K Views
Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho. Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Taarifa za ndani kutoka kwa watu wake wa karibu zinadai mzee anafikiria kuachia ngazi zote za kisiasa. " Toka juzi hayupo sawa na aliwataarifu baadhi ya rafiki zake wa ndani akiwamo kiongozi...
30 Reactions
120 Replies
10K Views
UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Bw. Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF). Kabla ya uteuzi huu Bwana Benard Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo
4 Reactions
48 Replies
16K Views
Wajameni sihitaji kuongelea sura ya mtu, Imani, rangi au ukanda, hapa nazungumzia weledi na hofu ya Mungu. Huyu bwana ana busara, mweledi, mwelewa, ana hofu ya Mungu na ni Mchapakazi. Kutokana...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Mara baada ya kuanguka kwa Umoja wa kisoviet, mataifa mengi ya Ulaya Mashariki yalikuwa bado na mentality za Ujamaa na sasa ikabidi wawe wanatafuta mbinu za kuwapumbaza Raia wao na siku zinasongo...
3 Reactions
6 Replies
596 Views
Back
Top Bottom