Mbeya mbona kijana chaula amepotea kabisa na hakuna kinachoendelea

Tajiri wa kinyankole

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,975
Reaction score
4,908
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Siyo kazi rahisi kihivyo kama unavyodhani. Mambo kama haya yanahotaji nguvu za ziada na akili za ziada ili kuweza kuyamudu. Aidha, inahitajika ' kafara' kubwa sana ili kuweza kukomesha masuala kama haya, siyo kazi ndogo hata kidogo.
 
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa ndiyo mkome kuwachangia wahalifu waliohukumiwa vufungo jela kwa ajili ya kufurahisha wapinzani.

Au siku nyingine mkichanga fedha kwa ajili ya mhalifu aliyehukumiwa basi akiisha achiwa jela mum mumtunze wenyewe
 
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
Tanzania tuna viongozi wa ajabu sana na kama wanaogopa hata nyasi hao unadhani watatoka madarakani kiurahisi bila kuchukua hatua za kujitoa mhanga.si rahisi.kama kijana ambae ni wa kijijini hata cjui kama kaenda shule lkn anapotezwa,sativa Kaponda tundu la sindano sasa hicho chama kina legacy gani?
 
Mimi nimetoa Order nichongewe Sanamu la Mwanasiasa mmoja hivi, likikamilika halafu nalichoma Moto na kubanikia Nyamachoma.

KUNA JINAI GANI HAPO?!
 
Nimefuatilia Sana kwa ukaribu mkubwa sakata la kijana huyo media nyingi zimepaza sauti hadi Sasa polisi wanasema wanafanya uchunguzi , NI uchunguzi gani huo usioisha na nimeona sakata Hilo limezimwa na maandamano ya viongozi wakubwa wa CHADEMA waliokamatwa jijini mbeya siku tatu zilizopita

Swali la kujiuliza tusema kwamba huyo kijana wetu chaula ndiyo amepotea kabisa kama yaliyomkuta Ben saanane.
Siasa za nchi yetu zimekuwa ngumu kiasi hiki hadi watu wameanza kupotezwa tena watu ambao hawana MADHARA hata kwa Kata,Wilaya au mkoa mfano kijana chaula huyuhuyu aliyepotezwa na wasiojulikana ?

Chakujiuliza pamoja na kuwepo upingaji wa kutokumuunga mkono raisi wa Tanzania je NI kweli wasiojulikana wanaona kijana huyo alikuwa threat kwa raisi.

Wasiojulikana tunaomba mrudisheni kijana wetu akiwa hai [emoji24][emoji24][emoji24]
Umesema ukweli kabisa! Huyu kijana Hana madhara yoyote hata kwenye mtaa, tz tuna majinga mengi sana kwenye mifumo na hayana akili wala hekima yanatumia mabavu TU! Angalia nguvu iliyotumika Mbeya pamoja na Kodi za Wala hoi!
 
Kama asingechukuliwa hatua naamini kufika sasa vijana wangekuwa wanashinda wanachoma picha na masanamu tu.

Kuchoma picha au sanamu siyo issue bali kurekodi na kuiweka kwenye social media. Kijana alikosea sana.
 
Duh ndiyo umpoteze mwanadam mwenzako

Ova
 
Duh ndiyo umpoteze mwanadam mwenzako

Ova
Sijajua kama amepotea au vipi. Ila lolote lawezekana kwa kuwa akili ya kijana inaonekana "kipa katoka". Kama aliweza kuchoma picha aliyochora badala ya kuiuza apate hela, hashindwi kujipoteza pia.

Waliomtoa jela walipaswa wampeleke Mirembe kwenye hospitali ya wenye changamoto ya afya ya akili
 
Mtu mzima hapotei anapotezwa inatakiwa kafara ya kufa mtu hapo....sema watekaji wanacheza na maisha yao koo zingine mkiwafanya hivyo mnapotezwa wote.
 
Aise vijana tupo hatarini hasa wanaopinga serikal
Kabisa, kabisa, tena hatari kubwa ni kutoka kwa wapinzani wa serikali ambao wanakufanyia jambo baya sana kwa kujua kuwa lawama zote watapewa serikali,
Kwa hili chukueni tahadhari sana
 
Back
Top Bottom