Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja...
3 Reactions
48 Replies
639 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema; "Mimi nafikiri tatizo letu kubwa ni tumeshindwa kutofautisha mijadala ya kisomi na siasa za nje...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Kombe la Dunia limeanza na kinaendelea, vipi Ile ban ya Waziri wetu kuingia USA na familia kuangalia mashindano ya Kombe la Dunia imeisha??? Na vipi kule Mexico alipoenda, wajuba aliowazungua...
2 Reactions
14 Replies
257 Views
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar. Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi. Tufikiri mara mbili. Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara...
21 Reactions
309 Replies
3K Views
Kwa kuzingatia taarifa zilizopo hadharani, hakuna ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kwamba NATO au nchi za Magharibi zimekubaliana au zinapanga kupeleka "mashushu" nchini Tanzania kufuatia taarifa...
0 Reactions
3 Replies
171 Views
Kama ukisoma historia ya maeneo ya maziwa makuu ya Afrika ya kati hutakosa historia ya tawala ya falme za hima zikijulikana kama 'hima empire' na wana historia. Watutsi ni mbari ya kihima. Wahima...
13 Reactions
100 Replies
5K Views
Mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na...
9 Reactions
63 Replies
1K Views
BIDHAA BANDIA ZINAHATARISHA MAISHA YA WANANCHI-DKT. MWIGULU WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kupambana na biashara ya bidhaa bandia kwa kuwa zinakwamisha ukuaji wa...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Serikali ya Tanzania imeendelea kuonesha dhamira yake ya kujitegemea kifedha katika uendeshaji wa shughuli za maendeleo na huduma za umma, huku ikieleza kuwa takribani robo tatu ya bajeti yote ya...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
We are living in a new country with relatively new fundamental values, but often disguised in the language of old values and norms. Nowadays, the ability to make deals and act as a middleman can...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewahakikishia amani na utulivu wananchi wa Tanzania huku akiwataka kuendelea na shughuli za kiuchumi na maendeleo hata katika tarehe inayotajwa...
0 Reactions
12 Replies
386 Views
Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa...
17 Reactions
39 Replies
876 Views
International relations nightmare wanayopitia kutoka kwa jumuiya ya kimataifa na public outrage nyumbani haijawahi kutokea tangu nchi iasisiwe. Mabunge ya dunia yanawajadili, yanawapangia...
10 Reactions
33 Replies
831 Views
Friends and Our Enemies, Kauli alizozisema sheikh mwaipopo na za kuungwa mkono na kila mzalendo na mpenda amani wa taifa letu. Hakuna ubaya kabisa kama watu wanaopanga uhalifu kama walioufanya...
6 Reactions
46 Replies
576 Views
Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa...
0 Reactions
4 Replies
189 Views
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja...
6 Reactions
95 Replies
2K Views
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi na Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohammed Said akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kupitisha bajeti kuu ya Serikali leo Juni 23, amekwepa kumtaja Yuda...
2 Reactions
32 Replies
685 Views
Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Indicator iwe ni kero ya ardhi mkoani na wilayani kwake; mfukuze. Wakuu wa Mikoa na Wilaya kama watafanyakazi za kuhudumia wananchi vizuri badala ya kujihudumia wao wenyewe hautakuwa na sababu ya...
0 Reactions
10 Replies
192 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…