Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya...
6 Reactions
8 Replies
613 Views
Rais Samia amezitaka Jami zinazoishi maeneo yenye Vivutio vya Utalii kuendeleza Mila na Desturi za maeneo hayo Ili kulinda Heshima ya Mila hizo na kuendelea kuvutia Watalii Source: Clouds media
1 Reactions
14 Replies
720 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
0 Reactions
5 Replies
387 Views
Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara. Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua...
3 Reactions
2 Replies
379 Views
WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki...
1 Reactions
3 Replies
688 Views
Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia...
24 Reactions
451 Replies
39K Views
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeoko kiasi cha Dola milioni 600 sawa na trilioni 1.5 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na mwekezaji DP World, mafanikio hayo...
5 Reactions
66 Replies
3K Views
Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno...
1 Reactions
13 Replies
899 Views
Habari wananzengo, Tumesambaziwa barua na Chama cha Mapinduzi kutuomba kuchangia kuboresha zoezi la kulipa kura, lakini mie nahisi harufu na rushwa na kupigwa maana daftari ya kupiga kura...
0 Reactions
10 Replies
725 Views
Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
=== Mbunge wa Rufiji ambaye pia ni Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika jimbo lake hakitapotea kijiji hata kimoja kwenda Upinzani katika Uchaguzi wa Serikali za mitaa hapo mwakani...
17 Reactions
145 Replies
12K Views
CCM Kwa katiba iliyopo bado mtaiba kura na mgombea wenu atapita. Ushauri wangu kuwenu serious basi badilisheni gia angani huyu mama akacheze na wajukuu Kizimkazi, hali siyo kabisa serikalini...
7 Reactions
6 Replies
512 Views
Kuwa na viongozi wenye misimamo mikali ndani ya Tanganyika Law Society (TLS) kunaweza kuleta athari kadhaa mbaya kwa chama hicho, ingawa pia kuna faida. Hapa chini ni baadhi ya athari mbaya...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri Kombo aagana na Balozi wa Ufaransa na Uswis hapa nchini. Waziri wa Mambo ya Nje ma Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameagana na aliyekuwa Balozi wa...
3 Reactions
4 Replies
589 Views
Gavana wa Kaunti ya Kajiado Joseph Ole Lenku amekosoa kauli ya Rais Magufuli kuwa Tanzania sio shamba la kufugia mifugo. Ameelezea jamii ya Wamasai upande wa Kenya na Tanzania wamekuwa na...
68 Reactions
506 Replies
72K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amemtaka Mwandishi nguli wa Habari Chief Odemba aende Makao makuu ya Chadema Mikocheni akamuulize Katibu mkuu mh Mnyika zilipo Fedha za Join the Chain...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo...
2 Reactions
101 Replies
3K Views
Ukiangalia kwa makini utaona kwamba wakati Sasa umefika wa kuwa na Serikali itakayosimamia maslahi ya watanganyika pekee. Kama maslahi ya wanzibari yanasimamiwa na Serikali ya Zanzibar ni kwa...
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…