Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana...
1 Reactions
2 Replies
445 Views
Uagizaji mafuta toka nje unaigharimu nchi yetu mabilioni ya fedha kila mwaka hivyo kudidimiza thamani ya fedha yetu na uchumi Kwa ujumla. TIPER-Tanzania International Petroleum Refinery ni...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa. Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
CHADEMA walilamika kunyimwa fursa ya kufanya mikutano- wakapewa. Walichofanikiwa kikubwa ni kutufahamisha Samia ana mtoto anaitwa ABDUL. Sasa kwa kuwatumia wanachama wao waliojificha kwenye...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni. Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili...
40 Reactions
176 Replies
11K Views
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa! Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna...
42 Reactions
368 Replies
24K Views
Nasema hivyo kwa sababu makao makuu ya mkoa na wilaya zake yanasikitisha! Kila mradi wa serkali bukoba lazima uwe na ubishani na ujuaji unaosababisha kuchelewesha mradi! mfano ujenzi wa stendi...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China...
11 Reactions
92 Replies
2K Views
Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X Kwenu CHADEMA πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯ --- Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika: Kama katika...
3 Reactions
11 Replies
944 Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume asema kuna tofauti kubwa Kati ya Mtu kuwa Shetani na Mtu anayefanya Kazi Kishetani Karume anesema Shetani ni Soul hivyo kuna Watu ni Mashetani...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Hello! Sio kwa ubaya lakini, ni kwa wema tu. Mimi sio shabiki wa chama au mtu yeyote ingawa nina kadi mpya ya CCM kwenye kabati langu. Ni kawaida na imezoeleka sasa kila jambo zuri au...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Ada ya wastaarabu ni kupongeza mazuri na kwa wafanyao mazuri. Nimewiwa kumpongeza sana Balozi wetu wa zamani nchini China ,mh.Mbelwa Kairuki- 2017-2023 (sasa balozi Uingereza) kwa maono yake...
1 Reactions
3 Replies
543 Views
Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Kupitia falsafa ya 4Rs, Rais wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga...
5 Reactions
117 Replies
3K Views
Kwanza kabisa mimi sio mfuasi wala mwanachama wa CCM wala chama chochote hapa Tanzania. Binafsi kwa mtizamo wangu na kwa kutazama jamii nzima iliyo nizunguka nakiri CCM inaweza isiwe tatizo pekee...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu...
6 Reactions
151 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…