Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,912
7,171
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!

Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!

Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
 
Kwani Sabaya, Kingai, Jumanne, Goodluck, na wenzao wataona je hivyo mkuu?
 
Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!

Jitahidi kuvumilia ukweli hata kama unauma. Aliyekuwa anafanya huo uhayawani mliona yuko sawa, kwanini hamkumwambia matendo yake hayana afya kwa taifa?
 
Utawala uliwatesaje?

Kwamba Magufuli alikua anaua, anafunga na kuwapoteza watu wa Arusha na Kilimanjaro?

Kitu mbowe hana hua ni reasoning. Mbowe hutanguliza hisia kuliko uhalisia. Mbowe kuropoka lolote linalokuja kichwani mwake ni kawaida.

Magufuli aliwatesaje watu wa Kilimanjaro na Arusha?

Hii ni mara ya pili Mbowe anaendelea kusambaza chuki ya ukabila kwa wachaga wenzake. Mwaka jana alisema hili naona amerudia, sasa atalisema hili mara ngapi?

Hata kama kweli(ingawa sio kweli) Magufuli alifanya hivyo, Magufuli alishakufa mwaka mmoja uliopita, yeye sasa ajikite kwenye kujenga chama, Magufuli hayupo tena.

Sasa yeye kila akisimama tu kwa wachaga wenzake anamzungumzia Magufuli, Magufuli, Magufuli.

Magufuli angekua anawatesa na kuwachukia watu wa Kilimanjaro na Arusha angempa mkuu wa Usalama wake kutoka Kilimanjaro?

Wachaga na ukabila ni sawa na samaki na maji. Kabila la hovyo kabisa.

Vyama vingine ni vya kitapeli tu.
 
Screenshot_20220319-172018.jpg
hiki ndio kirefu Cha Chadema, Ile CHA maana yake CHAGA, mwisho wakarekebisha wakaweka maendeleo
 
Yaani hawa
Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala uwe smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya …
Jitahidi kuvumilia ukweli hata kama unauma. Aliyekuwa anafanya huo uhayawani mliona yuko sawa, kwanini hamkumwambia matendo yake hayana afya kwa taifa?

Huyu mzee inabidi awe na breki kwenye kivywa chale yeye mbona wabunge wa Viti maalum aliteua wote kutoka huko kwao hata kama wako mikoatofauti! Mfano Pendo kutoka geita na yule mtangazaji wa zamani wa ITV kutoka morogoro!
 
K

Aliwanyoosha kivipi?
Muulize Sabaya na genge lake haramu kule mahakamani siku hizi wanaenda kufanya nini, na ile hukumu waliyopewa ilikuwa ya makosa gani kama sio matendo yao ya kikatili kwa wananchi wa Kilimanjaro na Arusha.

N.B. Kwanini moderators mnafuta comments zinazosema ukweli huku? matendo ya Sabaya Moshi na Arusha hakuna asiyeyajua, na hata mahakamani alikutwa na hatia akafungwa kwa sababu hiyo, sasa iweje nyie mnafuta comments zinazosema huo ukweli? mnataka kuficha kitu gani?

This is not a "place where we dare to talk" anymore.
 
Ni kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
 
Back
Top Bottom