johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,982
- 171,962
Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA ๐๐๐ฅ
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Askofu Mwamakula: Waliohujumu Uchaguzi Mkuu 2020 na kuiba kura hawatofautiani na wanaohujumu chaguzi za ndani za CHADEMA
Kwenu CHADEMA ๐๐๐ฅ
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au pia ndio unaotumika kuamua washindi katika ngazi mbalimbali; tunaweza kutegemea muuzija wowote katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025?
- Kuelekea 2025 - Askofu Mwamakula: Waliohujumu Uchaguzi Mkuu 2020 na kuiba kura hawatofautiani na wanaohujumu chaguzi za ndani za CHADEMA