Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 26,480
- 19,295
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amewasili salama Salimini kabisa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Beijing Nchini China.
Akiwa huko atashiriki mkutano mzito sana na wenye maslahi mapana kwa Taifa letu.Usikae mbali na jukwaa hili ili uendelee kupata habari kwa kadri zitakavyokuwa zinaendelea kupatikana.Mama anaendelea kuliheshimisha vyema sana Taifa na kulipeleka anga za kimataifa.
Ushawishi wa Taifa letu unaendelea kupaa kwa kasi chini ya jemedari wetu dkt Samia Suluhu Hasssan na ndio maana kila ikitokea tumeweka mgombea katika nafasi za kimataifa tunashinda kwa kishindo kikuu kinachoitetemesha Dunia nzima. Tumefanya hivyo kwa Dkt Tulia na sasa kwa Dkt Ndugulile .
Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu.Rais wetu mpendwa ni Mbarikiwa
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.