Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Rais popote ulipo nakusalimia kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania NATUMAH utaitikia salamu hii..... Mh rais hakuna kitu kibaya kama kumfinya mtoto huku unambana mdomo hasilie hakika...
0 Reactions
1 Replies
255 Views
Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Mara nyingi nimeona sio makonda tu Bali jamii yetu kwa sasa imegeuza watumishi wa mungu ndio dampo la taka taka ! Yaani mtu anakuwa na interest ya dini yake au Imani yake anaanza Kutukana Kila...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo...
1 Reactions
6 Replies
534 Views
Mimi kama Mtanzania nilikuwa nametegemeo makubwa sana Rais Magufuli alivyokuwa Rais kwasababu nilijua atasafisha nchi hasa kwa rushwa. Kitu ambacho sijajua wakati ule ni kwamba Rais Magufuli...
56 Reactions
181 Replies
18K Views
Akizungumza na Wananchi wanaohudhuria Kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameyashangaa...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mpira una kipaumbele kufuatiliwa kuliko siasa, Nenda Misri, Nenda Uingerez, Nenda Sauzi, Mpira unapendwa lakini hauwezi kuzidi watu kufuatilia mienendo ya...
1 Reactions
4 Replies
527 Views
Kwa hivi karibuni Chadema imepandishwa sana kwasababu ya busara za Mh Mbowe. Raisi Samia wakati ana punic hovyo, kuhujumiwa bila kujua na kuamini walewale wauajui bila kujua Mbowe amekuwa anaongea...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
1 Reactions
5 Replies
488 Views
Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo 1: siasa safi itazaa tunda la Amani 2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia 3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza 4:Siasa safi itaruhusu...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Ukiniambia nikae mbele ya TV asubuhi mchana usiku kwa ajili ya kumuangalia Military GENIUS General Paul Kagame siwezi kuchoka wala kusita! Sikatazwi kusema Paul ni mmoja ya viongozi bora wa kizazi...
14 Reactions
94 Replies
7K Views
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama mnavyo jua serikali yetu Haina misingi imara ya ajira kwa watu wake hivyo kutegemea sector binafsi kutatua angalau tatizo la ajira inchini Na tunapo zungumzia sector...
2 Reactions
3 Replies
744 Views
Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Fatma Karume anasema: Naomba kumuuliza DPP aliye-approve hii CHARGE SHEET. Kesi yako ni Boni anasambaza UONGO kwa kusema Mafwele anatuhumiwa kupoteza watu ma familia nyingi! Wewe ndie mwenye...
1 Reactions
4 Replies
954 Views
Zingatia matukio matatu yafuatayo: 1) Tarehe 21/9/2024 (Jumamosi) Muda: 08:30 pm Tukio: Young Africans (TZ) vs CBE (Ethiopia) Competition: 2024-25 CAF Champions League 2) Tarehe...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es...
6 Reactions
341 Replies
41K Views
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu sana CCM imekuwa ikisiasisha usalama (Politicize national security) wa Taifa letu. Mwanzoni wengine wenye umri mkubwa kidogo ingawa hatujafikia umri wa kina johnthebaptist...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…